- Thread starter
- #41
Hayo yanaitwa matumaini hewa.Ashinde kwa kura zipi mkuu?.. Wakati ccm imeshawapiga bao tangu kwenye idadi ya wapiga kura na sasa hivi tayari ina wabunge 22 kibindoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanaitwa matumaini hewa.Ashinde kwa kura zipi mkuu?.. Wakati ccm imeshawapiga bao tangu kwenye idadi ya wapiga kura na sasa hivi tayari ina wabunge 22 kibindoni.
Very well narrated.Nilisema mahala humu. Vyovyote vile Magufuli hawezi mshinda Lissu kwenye uchaguzi huu na hili nalimaanisha kweli.
Haiwezekani upone risasi 16 bila kuwepo mpango mkubwa na wa kipekee wa Mungu juu yako. Nasema tena Haiwezekani.
Nguvu ya Lissu imeanzia kiroho na Ndo mana inakuwa shida sana kupambana nae. Mtu akiwa na kibali cha Mungu hakuna kiumbe wa kumsimamisha, si bunduki, si fitna wala si kebehi
Wasoma Biblia wengi tumejikuta kwenye maandiko mengi sana tunapata uhalisia wa Lissu.
Mie kwangu suala la Lissu kuwa mshindi dhidi ya Magufuli nalifananisha na suala la Mfalme Daudi na Mfalme Sauli.
Mfalme Sauli alijitahidi sana kumzuia Daudi asiwe mfalme mpaka kufikia kutaka kumuua ila Mungu alikuwa upande wa Daudi na alimuokoa na yote na akamfanya kuwa Mfalme wa Israel.
Hakuna tofauti kati ya Mfalme Sauli na Magu na Mfalme Daudi na Tundu Lissu
Kama wabunge ni hivyo nini kimempitisha NEC?Sasa kama unajua hilo kipi kitampitisha Lisu kuwa rais? Ikiwa wabunge tu ni hivyo?
Tuone atakaeapishwsUna macho lakini huoni. Mtinange wa Lissu huuoni?? Nchi nzima imejimobilize kupamba na Lissu mmoja?? Watu wanamizika wakimwona Lissu utadhani Masih
Subiri utaona. Hizo utaona utaona zimeshakuwa nyingi toka anapigwa risasi mpaka jana. Kila sehemu Lissu aachanja mbuga tu. Watu wanabaki hawaamini amechomoka vipi.Tuone atakaeapishws
Heheee Mungu wa Lissu sio wa namna hiyo.Mungu ni waajabu unaweza kupanga hadi watu wakuteue alafu akakuchukua mwishoni na uchaguzi.
Utajua mwenyewe na shule yako ya kata kiingereza cha kukariri kwenye makaratasi.Is Devine a word?
adjective, noun, verb
a frequent misspelling of divine.
Mpelekeni na huko atawanyosha pia. Si mara ya kwnza Lissu kushtakiwa ameshashinda kesi zaidi ya 1000 ndani ya miaka 20. Untouchable Lawyer.Mara ya mwisho mlimpigia mtu deki barabara. Safari hii sijui mna mpya gani? Loketo wenu mpelekeni kisutu leo
Kwa hiyo kwa vile NEC wamempitisha basi ndio ameshashinda?Kama wabunge ni hivyo nini kimempitisha NEC?
Nmegundua wewe ni ama mtoto ama hjui siasa kabisa, ila ushabiki tu umekujaaaHayo maneno mmeshasema sana kila stage. Hamchoki????
Jana Dodoma sijui kama Chamwino mtu hajalala na viatu.
Kwa ninavyojua systems Kaijage lazima kachezea makofi jana.
Pumbawaaafu.....[emoji28][emoji28]
Lissu ni mteule shida tu Ni kuwa,wafuasi wake na mashabiki wake tumekosa kujiamini,yaani tunampa Magufuli nguvu asizokuwa nazo,tuna muover rate Magufuli.Magu ni wakuchukulia Kama mkalomije mwingine yeyote tu.sisi tuangalie Sheria inasemaje ili akienda tofauti na sheria inavyotaka tuzae nae just thatAsalam aleykum
Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa nani.
Sote nchini na nje ya nchi tumeshuhudia imani, mapenzi, mvuto na baraka alizonazo Tundu Lissu huku tukishangazwa na jinsi anvyoruka viunzi magogo na mashimo kutoka kwa maadui wake.
Si jambo la kawaida hata kidogo, ni lazima tujiulizw hii ngivu inatoka kwa Lissu kama Lissu au kuna extra power( mysteious)
There must be a mystic power from God, a Devine power.
Walimpiga risasi 16 hakufa, wakamnyang'anya stahili zake kama mbunge za matibabu hakufa, wakamvua ubunge akasavaivu, wakasema hataurudi nchini huyo mlemavu akarudi, wakasema akirudi tu anapigwa nyingine na kwamba mwaka huu hawatakosa shabaha, mara ooh akija atafikia Segerea, huku wakiseama na kujiapiza atanyang'anywa passport, atafikia mahakamani, akaja mchana kweupe.
Alipofika wakasema chama chake hakitamteua Mbowe kashakula pesa za Nyarandu na Membe. Akateuliwa, wakasema hata pata fomu amefanya kampeni mapema fomu akapata, wakaja na single nyingine eti hajahakiki fomu zake.
Na leo Ameteuliwa.
Hivi vigingi vyote kuvivuka sio nguvu ya Lissu its a devine power.
Hii imenikumbusha kisa kimoja cha wana wa Israel wakitoka Misri wakiongoza na Yuda, Simion, kalebo.
Yuda alipofika nchini kannai aliwakuta wafilisti akapambana nao huku wakiwa na siraha kali moala magari ya kutembea wakati huo hakuna teknolojia hiyo dunia nzima ispokiwa kwa wafilisti. Lakini Yuda huyo ktk nchi ile yerusalem aliwafurumusha wanajeshi wapatao 1000 kwa siku moja na kuwaua wote kwa kutumia mfupa wa taya la Ngamia.
Baadae akazaliwa kiumbe mwenye Agano( nadhili ya Mungu) naye ni Samson aliweza kuua simba kwa mikono yake. Na kuwafunga mbweha zIdi ya elfu moja mkia kwa mkia kwa kutumia mkono wake
Amakweli Tundu Lissu ameua simba kwa mkono pale NEC.
Sahihi kabisa. Kumbe Magu hamna kitu. Yulee mzee simheshimu tena.Lissu ni mteule shida tu kuwa,wafuasi wake na mashabiki wake tumekosa kujiamini,yaani tunampa nguvu Magufuli asizonazo,tuna muover rate Magufuli.Magu ni wakuchukulia Kama mkalomije mwingine yeyote tu.sisi tuangalie Sheria inasemaje ili akienda tofauti na sheria inavyotaka tuzae nae just that
Karibu tuendelee na ushabiki. Mtajua hamjui.Nmegundua wewe ni ama mtoto ama hjui siasa kabisa, ila ushabiki tu umekujaaa
Nawe unafikiri kwa taabu. Unamuonea huruma mtu aliyeyaona matatizo yakija na akajidai shujaa? Kwani lazima awe mwanasiasa? Wakulima wangapi wanakosa masoko na kuanza kazi zingine? Ukiona ukulima ni mgumu, anza ufugaji sasa mtu wenu analazimisha kuwa mwanasiasa, akipata matatizo anatulalamikia sisi na watu kama wewe unajidai mother Thereza, huruma nyiiiiingi!Tukiachana na siasa, kiubinadamu kabisa, waliohusika na shambulio lile hawajisikii vibaya wakimuona anavyojikongoja kwenye kutembea?! Huo ulemavu waliompa jamani inaskitisha sana.
Namshkuru Mungu tu naona wamempa ujasiri na upako wa ajabu sana.. maana unaweza tu kumsoma usoni kuwa HE IS UNSTOPPABLE. Nakuchechemea kote ila anakiendea kiti cha Urais. Wamelikoroga, Lissu anawapokonya kiti. Na wananchi jamani hamtwambii kitu, tunamtaka Lissu tu.
😂😂😂😂😂 Mwanzo umeanza na Assalam alaykum. Mwisho ukatubatiza. Hahahaha safi sana. Serekali haina dini. Maendeleo.hayana chamaAsalam aleykum
Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa nani.
Sote nchini na nje ya nchi tumeshuhudia imani, mapenzi, mvuto na baraka alizonazo Tundu Lissu huku tukishangazwa na jinsi anvyoruka viunzi magogo na mashimo kutoka kwa maadui wake.
Si jambo la kawaida hata kidogo, ni lazima tujiulizw hii ngivu inatoka kwa Lissu kama Lissu au kuna extra power( mysteious)
There must be a mystic power from God, a Devine power.
Walimpiga risasi 16 hakufa, wakamnyang'anya stahili zake kama mbunge za matibabu hakufa, wakamvua ubunge akasavaivu, wakasema hataurudi nchini huyo mlemavu akarudi, wakasema akirudi tu anapigwa nyingine na kwamba mwaka huu hawatakosa shabaha, mara ooh akija atafikia Segerea, huku wakiseama na kujiapiza atanyang'anywa passport, atafikia mahakamani, akaja mchana kweupe.
Alipofika wakasema chama chake hakitamteua Mbowe kashakula pesa za Nyarandu na Membe. Akateuliwa, wakasema hata pata fomu amefanya kampeni mapema fomu akapata, wakaja na single nyingine eti hajahakiki fomu zake.
Na leo Ameteuliwa.
Hivi vigingi vyote kuvivuka sio nguvu ya Lissu its a devine power.
Hii imenikumbusha kisa kimoja cha wana wa Israel wakitoka Misri wakiongoza na Yuda, Simion, kalebo.
Yuda alipofika nchini kannai aliwakuta wafilisti akapambana nao huku wakiwa na siraha kali moala magari ya kutembea wakati huo hakuna teknolojia hiyo dunia nzima ispokiwa kwa wafilisti. Lakini Yuda huyo ktk nchi ile yerusalem aliwafurumusha wanajeshi wapatao 1000 kwa siku moja na kuwaua wote kwa kutumia mfupa wa taya la Ngamia.
Baadae akazaliwa kiumbe mwenye Agano( nadhili ya Mungu) naye ni Samson aliweza kuua simba kwa mikono yake. Na kuwafunga mbweha zIdi ya elfu moja mkia kwa mkia kwa kutumia mkono wake
Amakweli Tundu Lissu ameua simba kwa mkono pale NEC.
Ametudanganya sana.Hapo kwenye issue ya wana wa Israel kutoka Egypt, aiseee umetulisha matango pori mengi tu!
Kwa hiyo nawe ni mchambuzi wa siasa? Rubbish!Wanapita bila kupingwa!! Myass!