Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Hakuna mseto na shetani , watafiti wamedukua kwamba Lissu anashinda kwa 75%
 
Mungu ni mwema sana si jambo rahisi kabisa alilopitia Lisu. Its not easy at all
Ni kweli kilichompata Lisu si kushabikiw na mtu yeyote mwenyewe utu!

Lakini kamwe hiyo hiwezi kuwa sababu ya yeye kuwa rais!

Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati lakini urais hapati hata iweje
 
Kama wamepitishwa kwa hila inahisiana vipi na kura za wananchi?

Kama Nyerere na wenzake enzi hizo walivyochoka ukoloni, ndivyo na sisi wananchi tulivyo ichoka ccm
Umeichoka ccm? Unafiikiri ccm inaindoka kwa kusema tu nmekuchoka?

Inaindoka kwa mbinu, mbinu ambazo chadem hamna.

Wakati nyie mnashangilia kejeli na mihemuko ya Lisu humu mitandaoni wenzenu ccm wako field wanasaka ushindi. Na matokeo ndio hayo yameanza kutoka wenzenu 22 nyie 0

Haya hiyo ccm pamoja na kuichoka kwako utaoondoa vipi? Na bado kimbunga cha uachguzi mkuu
 
Kusema ukweli hizi figisu wanazofanya serikali hii sijawahi kuzisikia kuwepo nchi yoyote duniani yenye uchaguzi wa vyama vingi. Si Belarus, si Venezuela si South Sudan. Drama hapa zimekuwa nyingi kupitiliza. Naamini mpaka hao watendaji wanaomba dua CCM iondoke madarakani wapate kupumzika na mateso wanayoyapata ya kisaikolojia. Tushaona mengi ya kutosha.

Sote tunajuwa kuwa hakuna binadamu anayetaka kuondoka madarakani. Lakini itakapokuwa katiba inahalalisha uwepo wa vyama vingi basi inatakiwa ukubaliane na uhalisia tu, kupata au kukosa kura. Hata makaburu walipoamuwa kuleta demokrasia Afrika ya Kusini basi waliionesha uaminifu wao juu ya kile wanachokiamini.

Hili linalofanywa na Serikali ya CCM linatudhihirishia kuwa hawamaanishi wanachokisema mdomoni kwa wananchi na dunia kwa ujumla. Ikiwa kitendo halali cha upigaji kura ambacho kinatekelezwa kwa matakwa ya katiba yetu na shindikizo la jumuia za Kimataifa lina figisu hizi tunazoziona, jee hayo maamuzi mengine wanayoyachukuwa kwa utashi wao wenyewe bila ya maamrisho ya sindikizo kutoka kwa.jumuia za kimataifa yanakuwaje? #Sasabasi.
 
Hakuna mseto na shetani , watafiti wamedukua kwamba Lissu anashinda kwa 75%
Naona atashinda kwa kupigiwa kura na wale wafuasi wake milioni 80 uliosema amepata baada ya kuhojiwa hardtalk ya bbc?
Ccm mpaka muda huu ina majimbo 22,alafu bado mnaota ushindi? Mna moyo kweli nyie
 
Naona atashinda kwa kupigiwa kura na wale wafuasi wake milioni 80 uliosema amepata baada ya kuhojiwa hardtalk ya bbc?
Ccm mpaka muda huu ina majimbo 22,alafu bado mnaota ushindi? Mna moyo kweli nyie
Hakuna kupita bila kupingwa mkuu , iweke hii kichwani mwako , mwambie Majaliwa ajiandae kwa kampeni , kuteka wagombea si suluhisho
 
Ni wa kawaida sana
Kama ni fomu hata Hashimu Ringer anechukuwa!
Kwamba hatagombea, kasome Katina ya nchi utaelewa!
Risasi 16!
Labda alikatwa na vipande vya chupa, hakuna risasi ya kupinda, upigwe kushoto, ipinde na ipige kulia!
Muulizeni dereva wake, atakwambia kuwa move iligoma!
Any way , tukutane 28 oct
 
umeishia darasa la ngapi ?
 
Mkuu hakuna mseto wa nini! Amini nakwambia Lisu hawezi kuvuka 20%ya kura zote.
Kwa wabunge ndio usiseme Lisu hafikishi hata robo.
. Yani hapa wabunge wa Lisu ni
1. Lema
2. Msigwa
3. Sugu
4. Mdee
5. Wenje
6. Heche

Kwingine kote ni tia maji tia maji. Tena hata hao 6 ni bahati tu kushinda kwao.
Zanzibar ndio kabisa hawapati mbunge hata mmoja.
Haya huo mseto unatokea wapi.?
 
Mkuu toa lema hapo hatoboi kabisaa arusha mjini..... Ingia tu kwenye page yake ya facebook utaona watu wanavyompinga waziwazi... Lema ni mzigo kwa arusha mjini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…