Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

Mbona kawambwa alikuwa mpole vile akifungwa Pingu na mgambo.jamani nikajua amefulia
Yuko fiti jmaaa ni mtu wa busara sana ana miradi yake kadhaa hana shida huyo mtu alikuwa waziri miaka yote ya JK na ni binamu yake huyo walishavuna mafao yao.

Unajua ukiwa na power huwezi kufreak out kama huyo Wembe sijui nani. Alitulia tu anamuangalia. Cheki video nimetuma akielezea ishu nzima
 
Wangemfilisi tu diwani maana anaonekana kuvuka mipaka sasa. Maana kuwa na mgodi wa mchanga tu kaanza kugombana na wastaafu.

Je akiwa na migodi ya madini si atatuulia hata viongozi wengine!

Pesa kidogo kashaanza kuamrisha migambo wampige pingu Waziri mstaafu 😅 daaah.
 
wasiishie kulala lupango wajingasana
Kesho nampelekea chai nione kama kweli yuko lupango
Tena Professor mhandisi na mhadhiri mstaafu kadhalilisha sio tu uzee wa siombwa bali hadhira nzima ya wasomi nchini,
 
Kesho nampelekea chai nione kama kweli yuko lupango

Tena Professor mhandisi na mhadhiri mstaafu kadhalilisha sio tu uzee wa siombwa bali hadhira nzima ya wasomi nchini,
Sure!
Bora Mheshimiwa angekuwa labda ana display sifa flani ambazo si nzuri, labda angekuwa anatukana au anajiproud au anatoa vitisho but
Kaonesha usomi wake.

Tuna cha kujifunza pia.
 
Dalali mwizi na mchawi ni huyo mwenyekiti wa hiyo halmashauri hapo, anaitwa nani sijui yule darasa la tatu, mpiga dili kashiriki dhulma nyingi za viwanja kimoja kikiwa cha rafiki yangu, USINGA sijui chinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…