When you know Who you are and what power you have! You fool them for few hours ili wakiingia kwenye 18 zako . Wanakuja jiona ni Wapumbavu mara elfu🤣🤣. Na wanajua kabisa ndani ya mioyo yao kuwa adhabu unayowapa wanastaili na awatakiwi kulalamika.
Unakamatwa 25 April-26 sikukuu..Weekend..Jumatatu Kesi yako aijapangiwa Mpelelezi...J4 Mei Mosi..... yupo Mahabusu pamoja na wavuta bangi ,Vibaka na wanya gongo.