DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nimerudi nyuma kuangalia uzi Huu uliuleta lini , Nikaona ni mwanzo Kabisa wa DEC, Basi Mbobezi uko vizuri …mtoa taarifa Wako ni wa kuaminika .
 
Sasa hivi Samia anawaza namna ya kuimilikisha familia yake biashara za bandari, mambo ya katiba yameyeyuka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…