DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.

Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.

Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.

Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Ebu rudi kiulize chanzo chako kama Dr. SSH anawaza nini kumhusu rais wa mawe aka Savimbi.
Je anajua kuwa jamaa anamtobolea mtumbwi!
 
Siku ingine muwe mnatumia coded language ili kuwapiga chenga ya mwili hawa mode wasizuie nyuzi zenu
 
Tatizo la samia ni hofu ya marehemu hivyo sidhani kama anaweza kuleta katiba ya kweli na ya Haki ichi kitu watu wanakipuuza ila hofu ya marehemu ndiyo inayo mfanya samia kuonekana kana kwamba ana uchu wa madaraka ...ila isingwkuwa hofu ya marehemu basi ilikuwa ni fursa pekee kwa samia kuleta katiba tena nzuri ndani ya miaka hii mitano ..kwa akili ya kawaida tu katiba lazima itaua uwezekano wa yeye kuwa mgombea urais 2025 hapo ndipo penye hofu nyingine ...pia katiba ikiwa vizuri inaweza kukwamisha ccm 2025 maana hakuna namna yoyote ccm ya samia inayo mkashifu nyerere na jpm wazalendo kukubalika na wananchi hivyo njia pekee ni kufisidi uchaguzi 2025 na ilo ndiyo tumaini la wabunge pia sasa hivi wabunge wanaogopa kwenda majimboni maana wanajua wao ni wasaliti wa taifa hakuna anaye wakubali .
 
Mkuu ukigundulika wanakuchinja..
Hawawezi kumchinja, hakuna kosa kubwa.

Hata Ulaya na kwingineko wanafanya hilo la kupenyeza dodoso za habari.

Inasaidia kupima joto la muitikio wake kabla ya maamuzi rasmi. Ni sehemu ya public vetting pia. Si kila kitu lazima kiwe siri kali, mmezoea kufichwa kila kitu.

Kuna DAS au DC aliteuliwa na Samia akatenguliwa kesho yake kwa kutokuwa na sifa. Kuna CEO wa NSSF aliteuliwa kipindi cha Magu kumbe sio Mbongo, ni Mganda, akatenguliwa kesho yake. Umma unaweza kumjua mtu kuliko Ikulu, si vibaya saa nyingine kuvujisha habari kabla ya.
 
Tatizo la samia ni hofu ya marehemu hivyo sidhani kama anaweza kuleta katiba ya kweli na ya Haki ichi kitu watu wanakipuuza ila hofu ya marehemu ndiyo inayo mfanya samia kuonekana kana kwamba ana uchu wa madaraka ...ila isingwkuwa hofu ya marehemu basi ilikuwa ni fursa pekee kwa samia kuleta katiba tena nzuri ndani ya miaka hii mitano ..kwa akili ya kawaida tu katiba lazima itaua uwezekano wa yeye kuwa mgombea urais 2025 hapo ndipo penye hofu nyingine ...pia katiba ikiwa vizuri inaweza kukwamisha ccm 2025 maana hakuna namna yoyote ccm ya samia inayo mkashifu nyerere na jpm wazalendo kukubalika na wananchi hivyo njia pekee ni kufisidi uchaguzi 2025 na ilo ndiyo tumaini la wabunge pia sasa hivi wabunge wanaogopa kwenda majimboni maana wanajua wao ni wasaliti wa taifa hakuna anaye wakubali .
Kama uchaguzi 2020 ulivyofisidiwa kulikuwa na hofu ya nani?
 
Maelezo marefu lakini ujinga mtupu. Kama Magufuli ni mzalendo na alikuwa anakubalika, kwanini yeye ndio alipora uchaguzi kimachomacho kuliko rais mwingine yoyote?
 
Oya wadau hii kitu ilipostiwa December 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?

Halafu hii post ndio naiona leo asee
Aliyepost hii thread ni Diwani Athuman mwenyewe
 
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
 
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.

Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.

Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.

Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Anafikiria vizuri
 
Kwanini mtu uanike Siri za ikulu ya nchi yako hivi? Yaani mtu anajua mpaka mkurugenzi wa usalama ataondolewa alafu inakuwa kweli! Aise waafrika ni wajinga sana
Inaelekea mleta mada aliachiwa na Magufuli vifaa vya kudukulia wenzi e hapo Magogoni au kaazima vidukuzio vya Mr kigogo, hata hivyo suala la katiba mpya naona kwa CCM ni sawa na kuruhusu kifo chao kamwe hawatamwacha yatajirudia ya Aboud Jumbe
 
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii.
kwenye hili mama anaweza kujizolea umaarufu wa bwerere ambao watangulizi wake waligwaya. Mama endelea kuzoa mi point ya bure.

Angalizo: usije na yeye ukatishwa tishwa kama walivyomfanyia wa Mzee wa Msoga - katiba ikabakia kabatini.
 
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.

Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.

Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.

Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
aisee wewe si wa kawaida.... tumeyashuhudia.

JF ni mwisho wa matatizo.
 
Back
Top Bottom