Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ebu rudi kiulize chanzo chako kama Dr. SSH anawaza nini kumhusu rais wa mawe aka Savimbi.Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Je anajua kuwa jamaa anamtobolea mtumbwi!