DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Usikute aliyeandika uzi huu ni rais Samia mwenyewe. Haiwezekani uzi uwe sahihi kwa 100% kiasi hiki!!!

Hongera Sana mleta mada. Nitakuwa nakufuatilia kila muda
Acha bange ,unamjua Mleta uzi nani mpaka useme utamfuatilia kila muda ?
 
Hakuna nyaraka ya siri hapa, ushamba wa ki jiwe tu ndo unawasumbua washamba kama nyie.
Wewe ukionyoshwa state secrets au classified information wala hutaweza kung'amua chochote.
Hujui unacho ongea.
Hujui umuhimu wa taarifa kama hii kubakia siri hadi wakati sahihi.

Naomba nisifafanyue nibaki na ushamba wangu wa ki jiwe ingawa natamani nikufungue akili yako itambue hoja ya usiri kwenye taarifa nyeti kama hizi ukizingatia nafasi ya mkurugenzi wa ile idara muhimu.
 
Kwanini isiwe JF wameandika uzi kwa kurudisha tarehe nyuma? Au kuedit uzi mmoja waliofuta kwa tarehe hiyo?

Kwani hiyo haiwezekani
 
Nakubaliana na wewe sehemu ya kwanza lakini sehemu ya mwisho ya makundi naomba nitofautiane nawe.

Kwanza dhana ya makundi kwa kiasi fulani sio mbaya maana siasa zetu ni za ushindani ndani ya chama na nje ya chama. Hivyo kukitokea kundi ndani ya chama sio kuliogopa bali ni kuona kama hoja zao zinamashiko lakini pia kutimiza malengo makuu ya chama na dola(kwa chama chenye serikali).

Hii ni kwa sababu watu wote wanafikiri tofauti na ukio wote wanawaza sawasawa basi jua wanafiki ni wengi sana.
Hivyo kutokea kwa kundi jipya ni afya zaidi ya kuliona kama tishio.
 
Huyu inawezekana aliingia kama member lakini kutokana na uzito wa hoja yake ikabidi wambadili kuwa guest ili kulinda afya yake.

Inawezekana pia hata jina aliloingia nalo sio hilo linaloonekana hapo.
Kuna sehemu kama unatumia broswer unaingia kama whistleblower.

Unapost taarifa bila kuonyesha ID yako iko pembeni kushoto chini ina nembo kama hii hapo.👤
 
Oya wadau hii kitu ilipostiwa December 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?

Halafu hii post ndio naiona leo asee
Iliwekwa lockup kwanza baada ya kutimia ndiyo mods wameitoa lockup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…