Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu member MAGAMBA MATATU sijui alipotelea wapiYale Yale ya magamba matatu.
Dah umepatiaChanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Kila mtu alimpuuza wakijua ameposti umbeya ama chuki na roho mbaya. Kumbe ndiyo ukweli wenyewePoint of correction!!
Uzi haukuchangiwa kabisa. coment ya pili imepostiwa Leo(5hrs ago)
[emoji1787]
Yanarudi yale yale...!!
Nyaraka za siri za nyumba kuu kusambazwa kwenye vyombo vya habari kama enzi za J Mkwere.
Tiss wapo hadi TikTok sembuse JFItoshe kusema kwamba jamiiforums Kuna watu wa kitengo i.e tiss
Uzi niliuona huu. Nikataka kuchangia sikumbuki ilikuwaje, ila niliuona na haujaeditiwa loloteHaujachangiwa kabisa. Nashawishika kuamini uzi uliandikwa lakini haukuruhusiwa mpaka imetokea baadhi ya yalioandikwa.
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
Sikufahamu kama siku hizi wageni (guest) wanaruhusiwa kupost humu.Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Who?Death.
Sio "inawezekana" bali ni Hakika kabisa huyu mama hatagombea...!Rais Samia anaweza asigombee 2025 Ila akafanikisha Katiba mpya maana Kuna kauli ya nilimsikia anaongea kwamba anataka anapomaliza Miaka Yake 5 awe amewatendea Jambo Watzn..
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Usikute aliyeandika uzi huu ni rais Samia mwenyewe. Haiwezekani uzi uwe sahihi kwa 100% kiasi hiki!!!
Hongera Sana mleta mada. Nitakuwa nakufuatilia kila muda
Naona Bi samia ameamuq kutimiza unabii wote wa uzi huuDiwani Athuman ashaondolewa TISS?
Jamani tusiidharau JamiiForums na habari zake za uhakika za ndani ndani kabisa
Kupata hiki kichekesho shilingi ngapi?Sio "inawezekana" bali ni Hakika kabisa huyu mama hatagombea...!
Na ikitokea akashawishiwa na wapambe na Kisha kushawishika kugombea, hapo ndipo mtakapoona kuwa ule mgawanyiko wa CCM Dodoma mwaka 2015 kuteua mgombea ilikuwa ni cha mtoto...