Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Una dharau sana ndugu, una uhakika gani kuwa kitengo hakina fedha?
Get me right ndugu yangu, kusema nina dharau is a mis-characterisation.
Mimi ni mpenzi sana wa shughuli za kitaalam za hii idara yetu, miaka mingi.
Tatizo au pengine uwezo wake hauwezi kuwa mkubwa kulinganisha na kipato cha nchi.
That is what I mean.
 
NARUDIA TENA DG WA TISS MTARAJIWA NI HAMDUNI. SIKU HIZI KUNA KAUTARATIBU FLANI USIO RASMI LAZIMA UWE BOSS WA TAKUKURU KWANZA KABLA UJAWA BOSS WA TISS.

SIWEZI KUELEZA KIUNDANI ZAID KWASABABU YA VIAPO NILIVYOKULA HUKU NIKINYOOSHEWA BASTOLA.
🤣
 
Japo Arvata yako inakuweka wazi kuwa ni mmoja wao na umeongea kiushabiki, lakini ni ukweli usiofichika kuwa linapokuja suala la ulinzi wa viongozi TISS ipo juu na ni moja ya jukumu lao na ndio maana wana kikosi husika.
 
Japo Arvata yako inakuweka wazi kuwa ni mmoja wao na umeongea kiushabiki, lakini ni ukweli usiofichika kuwa linapokuja suala la ulinzi wa viongozi TISS ipo juu na ni moja ya jukumu lao na ndio maana wana kikosi husika.
ivi nao hua wanatumia picha ya bundi
 
Itakuwa hujaijua hadithi ya Samson vyema mkuu. Achana na ule mlango kabisa. Haijalishi koromeo wala koromelo
 
Itakuwa hujaijua hadithi ya Samson vyema mkuu. Achana na ule mlango kabisa. Haijalishi koromeo wala koromelo
Ila kuna ka ukweli fulani hivi, hawa wanawake wana ushawishi sana unaweza shangaa unaropoka kila kitu 😀
 

Endelea ku doubt
 
Ila kuna ka ukweli fulani hivi, hawa wanawake wana ushawishi sana unaweza shangaa unaropoka kila kitu [emoji3]
Kwa maana hiyo, wakipikwa wanaweza kuwa hatari sana... Zaidi ya tunavyowafikiria.

Ule mtego kuuvuka inahitajika busara ya hali ya juu sana na nidhamu ya kupitiliza. Hapo wengi ndio wanapofeli na kuanguka. Baada ya kukoswa koswa koteee
 
Kwa hiyo Wankyo mnamsagia kunguni...
🤣🤣🤣 Tatizo alitanga NIA kabla ya MUDA wake, halafu alitaka akalie hicho kiti kwa miezi michache, sasa akitoka kwenye hicho kiti baada ya hiyo miezi michache anataka kua NANI tena?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…