Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Get me right ndugu yangu, kusema nina dharau is a mis-characterisation.Una dharau sana ndugu, una uhakika gani kuwa kitengo hakina fedha?
Mimi ni mpenzi sana wa shughuli za kitaalam za hii idara yetu, miaka mingi.
Tatizo au pengine uwezo wake hauwezi kuwa mkubwa kulinganisha na kipato cha nchi.
That is what I mean.