Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Twendeni hivyo hivyoZamu yao mwendazake alikuwa na udini na ukabila walijaa wakristo watupu utadhani nchi yao peke yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twendeni hivyo hivyoZamu yao mwendazake alikuwa na udini na ukabila walijaa wakristo watupu utadhani nchi yao peke yao
Au KingaiKwa hiyo Wankyo mnamsagia kunguni...
Usisahau yeye ni Amiri jeshi mkuuIIna màana mama amefikia hatua ya kumes up na JWTZ!!!?wenye nchi KWELI!!!?mi Siamini wakuu!!!
Hayati amenifunza kuwa hakuna ukuu KWENYE kupindisha maslahi ya WATU na haki ZAO!!!Usisahau yeye ni Amiri jeshi mkuu
Au J4Apewe afande Swilla
Wewe bwana achana na watoto wa humu,huyu jamaa akiwa polisi ni moja ya maofisa askari wadogo walikiwa wanamuogopa maana hapendi kupindisha mambo,tofauti ya huyu jamaa na hamduni ni rangi tu.U smartness wa DG wa MSD unaupima kwa kutumia nini ? Wanajeshi wengi wanaamini katika utii, Unless ueelezee maaana ya smart kwako ni nini ? Kama ni kashfa ya rushwa na yeye yumo, kama ni kashfa ya nepotism na yeye yupo kwa Taarifa za Msd . Ndio maana nimeuliza smartness yake unaipima vipi.
Au ni taasisi gani imeongozwa na mjeshi then ikafanya kitu ambacho raia wa kawaida wameshindwa kabisa ? Kwanza ni kuiba kazi za raia . Mtu ni mjeshi then unamuweka kwenye taasisi maana yake anakuwa na kazi mbili , hiyo kazi ya pili ni nafasi ya raia ambae yupo mtaani hana kazi . Hakuna kitu mwanajeshi amefanya nchi hii cha maajabu tena wengi wamefail na kusingizia raia.
Naungana na mdau kuwa shida sio individual , shida ni rotten system kuanzia Rais Mwenyewe hadi watu wake wote ni uozo na wote wanatakiwa kufanyiwa overhaul akiwapo rais Mwenyewe. Leo karne ya 21 tunagawana umeme huku tunasisitiza viwanda viwanda na kuuza umme nje , bado na still mtu anaguts za kusimama na kujitetea Eti mifumo ya zamani ilikuwa ni outdated na haikufanyiwa maboresho.
Enz ya JPM hatukuwa na shida ya umeme kiasi hiki . Hii nchi inatakiwa kuanza upya. Tatizo ni rotten system ya watesi,
Mtu kama Diwani ni mtu muadilifu sana, na Sio hata muongeaji lakini yupo kwenye rotten system ya watesi, na kwa uadilifu wake walimzunguka na kuchafua hali ya hewa .
Kwasasa wanataka kumtoa ili kuweka ile team yao , so wanakuja hapa na Vigezo vya hafai , na kumchafua fua, hii ni agenda maalum na assimilation policy ya kusafisha masalia yote ya Ngosha.
Ndio maana hii nchi haisongi mbele , kila anaeingia anaweka establishment yake.
Huu ujinga siku akiufanya raisi yeyote hakuna rangi ataacha kuona.Tukitaka polisi jeshi lile linyooke rais afanye maamuzi kama ya mtangulizi wake alivyompeleka maj general mzee magereza basi mm nashauri kuna brig general anaitwa mkande huyo jeshi la polisi atalinyoosha na kuliweka kwenye mstari nmewahi kufanya nae kazi mahali jamaa ni mtu na nusu hata wenzake wanamjua
😂😂😂huyu kingai atafaa sana.Au J4
Wakikosa kabisa apewe Kingai!
Huu ujinga siku akiufanya raisi yeyote hakuna rangi ataacha kuona.
Upolisi ni taaluma inayojitegemea,halafu kuna uaskari.
Kila polisi ni askari ila sio kila askari ni polisi,hata waliousomea huko ccp wengi bado upolisi hawana(rejea kangi lugola) ije kuwa mwanajeshi asiyejua hata jukumu la msingi la mkuu wa kituo!!!
Tofauti ya ukuu wa polisi na ukuu wa taasisi nyingine,ili uwe mkuu bora wa taasisi hiyo lazima uwe umeotumikia kwa vyeo mbali mbali.unamweka mjeshi ambaye hajui kutoa maamuzi katika vurugu za uchaguzi,ataagiza watu wapigwe risasi za moto.
Kwanza atapata upinzani tokea ndani ya taasisi,maana sio pure.
Pili kazi yenyewe itamshinda maana haifahamu vyema.
Mama kagundua anahujumiwa na hao jamaa Labda!!why KWENYE Report ya CAG wakuu wote wa ulinzi wa pande hizo hawajahudhuria hafla!!?wameanza vugu vugu Nini!!!Mmepewa lini ndugu [emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwezi jana na mwezi huu mpaka leo hamjalipwa, na utaratibu unapoelekea ni kuwanywa kichwa kabisa [emoji38][emoji38][emoji38] mama anawapigia mwingi sana!!
Poleni
DuhYes,Wacha wateuliwe tuh,nao ni watanzania,ukiumia jitie kidole
Binafsi natamani IGP mpya awe Suzan Kaganda maana ana uwezo na uthubutu wa kukemea maovu hata ndani ya Police bila kujali mambo ya jinsia pia ni msomi na muumini wa utawala bora sheria.DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)nafsi n
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Level of Education yake ikoje?Binafsi natamani IGP mpya awe Suzan Kaganda maana ana uwezo na uthubutu wa kukemea maovu hata ndani ya Police bila kujali mambo ya jinsia pia ni msomi na muumini wa utawala bora sheria.
Mama Samia tupia jicho lako kwenye faili yake please.
Mimi sioni tatizo kuwatumia hao jwtz iwapo wana taaluma husika. Ingekuwa mtu anapelekwa kuongoza hospital ya Muhimbili halafu sio Dr hapo sawa. Lakini maadam taaluma anayo anafanya tu, hata awe ni Ofisa wa Wanyama pori, Magereza au Zimamoto anaweza kuongoza MSD. Kuhusu Diwani Athumani kukumbana na upinzani wa chini kwa chini ni sababu ya watu WENYE MENTALITY kama yako kuishi kwa MAZOEA , so far huyohuyo Diwani ameonyesha uwezo mkubwa hata kuzidi baadhi ya watangulizi wake.Naungana na wewe. Kiongozi bora ni Yule aliyekulia ndani ya mfumo na Sio nje ya mfumo. Tumeona hata DAM( Diwani Athuman Msuya) Upinzani ambao amekumbana nao chini kwa chini uliokuwa na lengo la kumuonesha hawezi. Ni muhimu kumchukua Kiongozi aliyekulia ndani ya mifumo; hao wa nje huwa inawachukua Muda kujifunza na adaptation ya culture organisation. Kwa mfano huyo DG wa MSD ambae ni Mjeshi ,hakuwahi kufanya kazi hata siku moja kwenye mfumo wa ugavi,akaenda kupewa MSD akiwa na dhana ya utii, je amefanikiwa chochote kwa kulinganisha na watangulizi wake ? Mwisho wa siku tumeona Rais alivyoonesha MSD now ni worst enough as compared na miaka ya nyuma. Swali la msingi ,Ngosha alikosa mfamasia mwenye uwezo palepale wizarani au MSD kuifanya kazi kama DG ? Naamini wapo
Taasisi sio za majaribio ,tuangalie namna bora ya kupata hawa watu
Halafu Hii mambo ya kutumia jeshi kusimamia taasisi ilianza na mwendazake na ni ilikuwa ni uporaji wa kazi za raia
Ni kweli MI iko vizuri.Hawa ma pai wanaotokea polisi hamna kitu wote , kwa sasa iwe zamu ya military inteligence maana weledi wao siutilii shaka kabisa na nadhani hawajawahi kupepesa macho, hata wakati wa jiwe kuna wengi walijitahidi kujiweka mbali na siasa za maji taka na kutaka nchi irudi kwenye mstari, lakini ndio hivyo hawakuweza maana jiwe lilikua jiwe kweri kweri
MI ipo vizuri kwa vigezo gani?Ni kweli MI iko vizuri.