mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Waandishi nanyinyi sio watu wa kuwaamini sana,kuna bahasha za khaki mtakuwa mmepitishiwa.Mkuu Bramo , huyo Suzy, sio tuu ni binti wa Mama Kamm, bali Mama yake mzazi ni Jaji Mstaafu Salome Kaganda aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi, huyu mama ni Mama Maadili mpaka kwenye damu, hivyo wamelelewa kimaadili, hivyo ili kukusaidia to save ya voucher na time, sikupi namba yake to help you na maimivu, utajisumbua bure na kuishia kuumia bure.
Kama unamtafuta kikazi, nenda kituo chochote cha polisi, number za maofisa wote zipo ila lazima utoe maelezo kidogo unamtafutia nini!.
P.
Huyu binti hawezi kuwa igp, u IGP sio taasisi kwamba atasaidiwa mikakati na wasaidizi wake NO.