Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Mbona mnamsahau mwarabu mkurugenzi wa pccb Salum Hamduni yule nae ni jembe kweli kweli, Sabaya anamjua alitaka kuleta janja janja Kilimanjaro akamtoa knockout!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyo mpare George yuko wapi?mombo ilikua awe badala ya mzee k sema ndio hivyo jiwe akamsagia kunguni yeye na madafa
Kwa Susan hata Mimi natamani hivyo aiseeDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Diwani Athumani hafai kuwa IGPDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Mkuu , Wagalatia Kwa Sasa tuwe wapole tuHv hakuna jina la kiparokia parokia.....
linalofaa
Lete Namba ya Suzy MkuuNaunga mkono hoja, Suzy ni kabinti Ka Mama Kamm pale Weruweru, sisi Ilboru tukiwa ndio ma Kaka zao. She is capable.
P
Haitatokea atapata URPC tuKwa kweli Kaganda anafaa kuwa IGP
🤣🤣🤣Apewe afande Swilla
picha na wasifu wake wekeni hapa ,wengine hatumjuiKwa kweli Kaganda anafaa kuwa IGP
Fungua hii code mkuuhistoria ya TZ haitakaa imsahau DIWANI kamwee kama ambavyo Mama hatakaa amsahau. DIWANI kiumbe mfupi mwenye roho ngumu kupita maelezo.
watu walikaa, wakasafiri, wakamaliza sherehe, wakarudi mwamba kavaa miwani.... haina kuongea kila mtu kanuna....
sio military intell wala intell yoyote ila paramill. intell yenyewe ya nchi tena wachache sanaaa walijua nini kinafuta
watu wakaishia kusema HAKUNA TATIZO TUCHAPE KAZI....
mwisho nchi inapumua.
nawasilisha
Hata yeye Diwani hakuwa amejiandaa kwa hicho kiti.. Ila Rais alimtiwisha zigoHatimae kanasa lazma apelekwe ubalozini kumpa IGP itakuwa kosa jingine kubwa mno kwa awamu hii.
Hili kosa la kuleta askari polisi idarani naomba ikawe mwisho maana wana lakujifunza kwa huyu ndugu Athumani.
ukishakuwa na rank ya juu katika haya ma vyombo ya usalama.. automatic unakuwa TISS hata kama sio officialKwani Hamduni hawezi kuwa kipenyo pia?
SASA ni zamu ya jinsia KE TuDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Ujambazi ni tabia.. ngumuu kuumaliza.. ila inawezekana ukazibitikaDiwani hapana kabisa aiseee.. Mama Samia atajutia akimweka IGP, in few months atamtoa, better amweke Suzan. Yule mama Suzan mchapa kazi sana, and very very panctual, atamaliza rushwa jeshi la polisi na majambazi yataisha. Huenda Afande Suzan akaweka historia kuwa IGP bora Tz.
ni kweli kbs.mombo ilikua awe badala ya mzee k sema ndio hivyo jiwe akamsagia kunguni yeye na madafa