Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Wambura ana doa. Kwenye kesi ya Mbowe ana husika. Hivyo asahau.
 
Mtu anayehusisha kila kitu na nguvu za gizs huwa namwona somewhere hayupo sawa kichwani
Obviously wewe ndiye huko sawa,na possibly sio rijali.Mwaume unakubali kuongozwa na mwanamke,it is a shame.God did not create a man that way.God created a man to be a leader,not to be led a by Woman!Wai,nenda kafie mbali,mwanaume gani wewe.
 
Diwani hapana kabisa aiseee.. Mama Samia atajutia akimweka IGP, in few months atamtoa, better amweke Suzan. Yule mama Suzan mchapa kazi sana, and very very panctual, atamaliza rushwa jeshi la polisi na majambazi yataisha. Huenda Afande Suzan akaweka historia kuwa IGP bora Tz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom