James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Naunga mkono hojaIGP mpya anafaa Hamduni wa takukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaIGP mpya anafaa Hamduni wa takukuru
[emoji23][emoji23]fala weweAfande Mathias mbona hujamtaja hapo,au kisa sio wa dini yenu ya mnyezimungu?
mombo ilikua awe badala ya mzee k sema ndio hivyo jiwe akamsagia kunguni yeye na madafaNaona mzee mombo anarudi idarani rasmi, km itakua hv dah.kweli jk yuko vzr,
mombo ndo maana karudi toka brazil
Idarani kipindi cha jk
boss OR
naibu JZ
opp SM
Punguza utani kwenye nyuzi zenye taarifa fikirishi John.Apewe afande Swilla
Na huyu ndo ameshaonyesha nia yake hadharani na kwamba atafanya vizuri zaidi ya mtangulizi wake......IGP mpya ni Wakyo full stop
Wewe ndio unaleta utani!Punguza utani kwenye nyuzi zenye taarifa fikirishi John.
Wazee wa ndani washajua nani anachukua hiko kiti. Mkumbushe Sirro aanze kuangalia miradi yake na asahau teuzi nyeti kwenye mfumo.
Ngoja tulitunze hili changizo.Naona mzee mombo anarudi idarani rasmi, km itakua hv dah.kweli jk yuko vzr,
mombo ndo maana karudi toka brazil
Idarani kipindi cha jk
boss OR
naibu JZ
opp SM
😄😃😀Kwa hiyo Wankyo mnamsagia kunguni...
Teuzi sahivi ni ajili ya waislamu mkuu
Ngoja tulitunze hili changizo.Naona mzee mombo anarudi idarani rasmi, km itakua hv dah.kweli jk yuko vzr,
mombo ndo maana karudi toka brazil
Idarani kipindi cha jk
boss OR
naibu JZ
opp SM
Aondoke tu kwenye ubosi wake sijaona kipya zaidi ya kuporomoka kimaadili kila siku na hatua hazichukuliwiSio roho mbaya tu na ni mshamba na limbukeni, kwa jinsi alivyo na majungu ni vyema akapelekwa kwa polisi wenzake.
Idara ilishamshinda muda sana, huwa najiuliza hadi sasa anafanya nini pale maana hajafanya mageuzi yoyote zaidi ya kuwa mbinafsi.
Ili Uchukue KaziSahivi ni kujiita Mohamed au Athumani
Wiki ya pili sasa namuona hata kitambi chake kimepungua naona atakuwa anataarifa tayari 😀@nyboma
Ila Magufuli alitudharau sana [emoji3]
Huyu jamaa amepitishwa sana akiwa afisa wa ngazi ya kati.
Kuna kipindi ndani ya miaka 1.5 alihamishwa mikoa zaidi 4.
Hii ni kutokana na misimamo yake.
Amejichanganua kuwa haabudu mtu.
Hataki rushwa
Na haogopi mtu...kumbuka sakata la Sabaya kusingizia wafanyabiashara wa Moshi kuhujumu reli...huyu alisimama waziwazi kumpinga mtoto mteule tena hadharani kuwa hiyo ni siasa hakuna kitu kama hicho.
Sabaya akamjungia/majungu akapelekwa Arusha.
Amewahi kumwekea mkuu wao misimamo mara kadhaa...kwa faida yako nikumegee..kila RPC hupeleka fungu kwa mkulu lkn huyu jamaa aligomea hilo
ahsante...... Jamaa hakuamini kabisa yaliyotokea dk za mwisho akaamua kuweka wazi kama kuna kitu anajutia basi ni kumpa shavu "MTENDAJI"Diwani amenisikitisha sana. Alikuwa na weak intelligence hadi wahuni wakamzunguka na kumuondoa mkulu . Diwani Yupo viziri lakini nafasi ya DGs haikumfaa. Alitakiwa aone . Foresee Fitna iliyokuwa inapikwa na TISS wachache nyuma ya kapeti dhidi ya JPM. Yaani mpaka walinzi wa karibu wa JPM waliweza kutumika na Diwani asijue chochote. Ngosha nae hakuwa mtoto wa mjini na hakuelewa vema mifumo ya Intelligence.... aliamini kauli yake ndio kila kitu. Hakujua watu alioingia nao bifu wanasisimizi wengi watiifu ndani ya mfumo wake ... hii ndio shida ya kuzaliwa vijijini
Pole JPM , the system failed you , Diwani failed you and you failed yourself.
Hakuna reverse ni umekwenda one way na masalio yako yanaondolewa yote.
Kinana, Makamba, Nape na Membe wote wamerudi kwenye System huku wanakucheka... na leo pale Dodoma wamekupiga mafumbo sana.
Nchi imeachiwa JK tu anafanya atakalo, akiamini yeye ndio Master minder , yaani wanavuruga nchi , rais mstaafu ni yeye tu, na wazee wenzie wapwani, full vijembe. ”
Mwanamke uliyempitisha bakora hawezi kuwa Na kauli dhidi yako “
Pole Ngosha , you did not play smart ... !
Ulichaguliwa VP , Na ukakubali ambae ndiyo alikuwa ni Informer wa watesi wako akina kigogo , Diwani alishindwa kumjua kigogo ni nani , lakini ukweli ni kwamba kigogo namba moja ulikuwa nae pale pale state , just right your shoulder ...... you did not play smart Ngosha .
Taarifa zako za ndani zilitoka nje kwa urahisi, docs zako za ndani zilitoka kwa urahisi...! Kwa Sasa hakuna tena hilo tatizo... you did not play smart Ngosha .... ulitakiwa ku foresee right from the moment .... pole Ngosha , sadly hutorudi tena duniani....
Walikutumia sms kwenye simu yako “ Umekufa Ngosha”
Ngosha, huku nyuma , VP uliyemuamini ambaye alikuwa ni kigogo namba moja. Anawapelekesha kina Sabaya hatari, ni kama hamkufanya kazi pamoja.
All in all ...... dunia ni mapito. Wote Wanapita .... Kama ulivyopita wewe , Na wengine watapita, ni suala la muda tu ndio linaleta utofauti.
You failed yourself. Diwani failed you Endelea kupumzika kwa amani
Sasa ulitaka aseme nini? Hata angesema wange twist kauli yake... Alipata mshtuko sana itakuwa akawa speechless.historia ya TZ haitakaa imsahau DIWANI kamwee kama ambavyo Mama hatakaa amsahau. DIWANI kiumbe mfupi mwenye roho ngumu kupita maelezo.
watu walikaa, wakasafiri, wakamaliza sherehe, wakarudi mwamba kavaa miwani.... haina kuongea kila mtu kanuna....
sio military intell wala intell yoyote ila paramill. intell yenyewe ya nchi tena wachache sanaaa walijua nini kinafuta
watu wakaishia kusema HAKUNA TATIZO TUCHAPE KAZI....
mwisho nchi inapumua.
nawasilisha
mimi naomba walete mjeda tu toka TPDF. wana nidhamu, na weledi mkubwa sana.DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya