Au 7 6 😅Au Kingai😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au 7 6 😅Au Kingai😀😀😀
Diwani alikuwa TISSMahiga alishawahi kuwa mkuu wa TISS?
Hii nafasi ni Hamduni ndo anachukua. Siku hizi kuna kautaratibu flani boss wa Tiss lazima apitie kwanza kuwa Boss wa Takukuru.
branch officermembe alikauaga nani hapo usalama?? niongezee maarifa
mbona police tunapewa ?Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!
[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
Kwani Hamduni hawezi kuwa kipenyo pia?Diwani alikuwa TISS
Hizi fikra za udini zinaharibu, tuwaze katika uwezo, Dini ufuatieUkiwa unaitwa Mohamed au Athuman hata kama huna sifa,utateuliwa ktk nafasi yoyote.Tunakoelekea siyo kuzuri.Baba wa taifa alikuwa hapendi kabisa mambo ya udini na ukabila.
Angetakiwa afanye mageuzi gani ambayo sisi raia wa kawaida tungeyaona?Sio roho mbaya tu na ni mshamba na limbukeni, kwa jinsi alivyo na majungu ni vyema akapelekwa kwa polisi wenzake.
Idara ilishamshinda muda sana, huwa najiuliza hadi sasa anafanya nini pale maana hajafanya mageuzi yoyote zaidi ya kuwa mbinafsi.
MMESHAMUHARIBIA KUMUANDIKA HUMUDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Kwani hutaki Mkuu? Waislam hawastahili kuwa viongozi? Mbona enzi zile mnateuliwa nyie na Jiwe hukusema teuzi ni kwa ajili ya Wakristo tu?Teuzi sahivi ni ajili ya waislamu mkuu
Mmepewa lini ndugu [emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwezi jana na mwezi huu mpaka leo hamjalipwa, na utaratibu unapoelekea ni kuwanywa kichwa kabisa [emoji38][emoji38][emoji38] mama anawapigia mwingi sana!!mbona police tunapewa ?
Kwani nchi imefika mahali gani?Kuwa muwazi mkuu.DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Kuna vijinga hapa JF kutwa ni kulalama udini na ukabila. Yani vikiona teuzi tu vinawahi kwenye jina la kwanza kuhakiki dini, baada ya hapo wanamalizia kwenye Ubini kuhakiki kabilaHizi fikra za udini zinaharibu, tuwaze katika uwezo, Dini ufuatie
😀😀😀😀 yule si ana 59? Hafai binti yake atatuvimbia sana KarambeziAu 7 6 😅
Mtu anayehusisha kila kitu na nguvu za gizs huwa namwona somewhere hayupo sawa kichwaniKwani nchi imefika mahali gani?Kuwa muwazi mkuu.
Halafu kwa nini tunapenda kuangukia kwenye mikono ya satanists?Agenda ya kuweka women in positions of power ni demonic.Nia ya Shetani ni kwenda kinyume na maagizo ya Mungu ambayo ni kumfanya mwanaume awe kiongozi na mwanamke awe msaidizi every where,starting with the family. Satan also wants to put Women in positions of power because they are easy to manipulate and cheat.What Satan did at the Garden of Eden is still doing today through Women.
Let me clear,hili wimbi la wanawake kuwa viongozi wa juu kitaifa is a disaster for the Nation as a whole and the families involved.Tunaweza tukashupaza shingo na kudhani ninachosema ni porojo,lakini ukweli utakuja kudhihirika when enormous damage has already been done.Satan is very smart.
Hv hakuna jina la kiparokia parokia.....Mimi sipendekezi dada bali napendekeza mtu sahihi naye ni Mkuu wa Takukuru wa sasa HAMDUNI
i smell itKwani Hamduni hawezi kuwa kipenyo pia?
Mkuu soma alama za nyakati.Hv hakuna jina la kiparokia parokia.....
linalofaa