Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Mbona mnamsahau mwarabu mkurugenzi wa pccb Salum Hamduni yule nae ni jembe kweli kweli, Sabaya anamjua alitaka kuleta janja janja Kilimanjaro akamtoa knockout!
 
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Kwa Susan hata Mimi natamani hivyo aisee
 
Diwani Athumani hafai kuwa IGP
 
historia ya TZ haitakaa imsahau DIWANI kamwee kama ambavyo Mama hatakaa amsahau. DIWANI kiumbe mfupi mwenye roho ngumu kupita maelezo.

watu walikaa, wakasafiri, wakamaliza sherehe, wakarudi mwamba kavaa miwani.... haina kuongea kila mtu kanuna....

sio military intell wala intell yoyote ila paramill. intell yenyewe ya nchi tena wachache sanaaa walijua nini kinafuta

watu wakaishia kusema HAKUNA TATIZO TUCHAPE KAZI....

mwisho nchi inapumua.

nawasilisha
Fungua hii code mkuu
 
Hatimae kanasa lazma apelekwe ubalozini kumpa IGP itakuwa kosa jingine kubwa mno kwa awamu hii.

Hili kosa la kuleta askari polisi idarani naomba ikawe mwisho maana wana lakujifunza kwa huyu ndugu Athumani.
Hata yeye Diwani hakuwa amejiandaa kwa hicho kiti.. Ila Rais alimtiwisha zigo
 
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
SASA ni zamu ya jinsia KE Tu
 
Diwani hapana kabisa aiseee.. Mama Samia atajutia akimweka IGP, in few months atamtoa, better amweke Suzan. Yule mama Suzan mchapa kazi sana, and very very panctual, atamaliza rushwa jeshi la polisi na majambazi yataisha. Huenda Afande Suzan akaweka historia kuwa IGP bora Tz.
Ujambazi ni tabia.. ngumuu kuumaliza.. ila inawezekana ukazibitika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom