Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athman atenguliwa ikulu.

View attachment 2469855

=========

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.



Alipewa fake move ajue anahamishwa ili asiondoke na vitu pale halafu walivyo mtoa wakampiga chini!. Wow
 
Rais anapanga safu yake itakayo endana na kasi yake.

Watanzania haswa wale wote walio katika nafasi mbalimbali kumbukeni kuwa;
CHEO NI DHAMANA AU NI SAWA NA KOTI LA KUAZIMA.
sasa wewe usiye jitambua endelea kujidai na kupandisha mabega juuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)

Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakatai wakiitwa kwenda kwa Mh. Ikulu? Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Mbona Kanali mkisi wa JW alikataa ukuu wa mkoa kipindi Cha jiwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom