Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

kama kumbukumbu zangu ziko sawa, nadhan diwani aliwahi kuwa naibu wa IGP kama sijakosea vizuri, and kwa cheo chake cha sasa kusema akawe chini ya IGP mmh ngumu sana


i think anaweza kwenda kuwa Balozi
Kwanini Mkuu? mbona ana vyeo viwili bado ili kumfikia IGP,
Nazungumzia cheo cha Muundo wa Jeshi la Polisi na sio vya uteuzi
 
Hawa wakuu wa hiki chombo miaka ya karibuni wamelambishwa sana sakafu sababu ya kutosimama kwenye msingi wa kile taasisi imepangiwa kufanya.

Wanafanya kazi kwa upepo wa wanasiasa, Mwisho wa siku zigo la misumari linawadondokea wao.
Ogopa sana nchi inapokuwa na hali hiyo ya sintofahamu.

Ni magapi mazito zaidi yanayovungwavungwa kiholela tu!
 
Back
Top Bottom