Naunga mkono hoja, hata kilichomkuta Imran Kombe, wanaodhani ni bahati mbaya, watche waendelee kudhani!.
Tena kuna maofisa na maofisa, ukistaafishwa unakuwa huru kuishi popote na kwenda popote, hawa jamaa ukistaafishwa kwa manufaa ya umma, unarudishwa at the place of domicile uliyoandika ile siku unaajiriwa! Na Kyle unakabidhiwa mahali chini ya uangalizi.
Nimekikumbuka kisa cha Mzee Mayalla, kwenye ile kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1976, ni tulibebwa usiku usiku na defender 109 na kutembea usiku kucha, asubuhi kijijini!. Na wazee wa Kisukuma kwa kupanda raha, unakuta kijijini hujajenga... we acha tuu mambo mengine usikumbuke...
https://www.jamiiforums.com/threads...azi-bali-wachunguzwe-wakithibitika-wafumuliwe
P