Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Kawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.

Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula

I said.

=====

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

View attachment 2469861
Huyu Rais anachokitafuta atakipata na wanaomshauri watampa anachokisubiri na kulewa asichokitarajia
 
Naunga mkono hoja, hata kilichomkuta Imran Kombe, wanaodhani ni bahati mbaya, watche waendelee kudhani!.

Tena kuna maofisa na maofisa, ukistaafishwa unakuwa huru kuishi popote na kwenda popote, hawa jamaa ukistaafishwa kwa manufaa ya umma, unarudishwa at the place of domicile uliyoandika ile siku unaajiriwa! Na Kyle unakabidhiwa mahali chini ya uangalizi.
Nimekikumbuka kisa cha Mzee Mayalla, kwenye ile kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1976, ni tulibebwa usiku usiku na defender 109 na kutembea usiku kucha, asubuhi kijijini!. Na wazee wa Kisukuma kwa kupanda raha, unakuta kijijini hujajenga... we acha tuu mambo mengine usikumbuke... https://www.jamiiforums.com/threads...azi-bali-wachunguzwe-wakithibitika-wafumuliwe

P
Mkuu P kile kisa ulikimaliziaga?
 
Nilisema jana hapa huu ujinga wa tengua teua kwa visasi na chuki kutengeneza team inayompendeza mtenguaji/mteuaji ni ujingaa..
Si kila mtu yuko tayari kwa maujingaujinga hayo.

Tunahitaji katiba mpya haraka saana..

Huu upuuzi ukome.
kila rais anaingia na watu wake sio jambo la kujadili
 
Diwani kwa cheo cha muundo ni CP Kamishna wa Polisi na sio peke yake wapo akina WP. Kaganda na wengine anaweza kuwa na Naibu IGP kama ambavyo huko nyuma Magu aliundaga hicho cheo kimchongo baadae kikafa natural death
kama kumbukumbu zangu ziko sawa, nadhan diwani aliwahi kuwa naibu wa IGP kama sijakosea vizuri, and kwa cheo chake cha sasa kusema akawe chini ya IGP mmh ngumu sana

i think anaweza kwenda kuwa Balozi
 
Naunga mkono hoja, hata kilichomkuta Imran Kombe, wanaodhani ni bahati mbaya, watche waendelee kudhani!.

Tena kuna maofisa na maofisa, ukistaafishwa unakuwa huru kuishi popote na kwenda popote, hawa jamaa ukistaafishwa kwa manufaa ya umma, unarudishwa at the place of domicile uliyoandika ile siku unaajiriwa! Na Kyle unakabidhiwa mahali chini ya uangalizi.
Nimekikumbuka kisa cha Mzee Mayalla, kwenye ile kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1976, ni tulibebwa usiku usiku na defender 109 na kutembea usiku kucha, asubuhi kijijini!. Na wazee wa Kisukuma kwa kupanda raha, unakuta kijijini hujajenga... we acha tuu mambo mengine usikumbuke... https://www.jamiiforums.com/threads...azi-bali-wachunguzwe-wakithibitika-wafumuliwe

P
Kwa iyo KIPILIMBA place of domicile ni Botswana?
 
Back
Top Bottom