Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Wacheki cv ya mossad boss
David Barnea...teh teh
Lijamaa lishaenda sana frontiles
Ukimchek tu mtu unasema yes huyu ni
Ngoma ngumu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheki cv ya mossad boss
David Barnea...teh teh
Lijamaa lishaenda sana frontiles
Ukimchek tu mtu unasema yes huyu ni
Ngoma ngumu
Ova
Kwani mkuu, kuna ulazima wa kutuwekea font size 5000% kweli.
Unamaanisha fairy tale?Fair tale.
Hakuna mtu anayehudumu TISS na ambaye ni Member wa TISS akateuliwa kazi yoyote na Rais akagoma.
Rais atakuwa amestuka kuwa kumuweka Ikulu karibu yake mtu aliyekuwa anaendesha mission za kuonea wapinzani kutaathiri mipango yake ya zile R nne
Huyu jamaa cv yake htr
Sentensi nzima umeona neno kuumwa tu ambalo nimetoa kama mfano. Hujaona niliposema "ama ana sababu nyingine"?Kwahiyo Diwani kaanza kuugua mara tu baada ya kuondolewa nafasi aliyokuwa nayo na kupewa ya ikulu?
Huoni kwamba hii hypothesis yako imekufa kifo cha mende hata kabla hujamqloza kuiandika?
Hahaha nyie wakuu mnachekesha sana.🤣🤣🤣🤣 unaniuwa mwenzio nalinda geti kwa mhindi nitaonekana nina dharau
Kama una msimamo wako tayari, sina cha kubadili mkuu...unataka tu kuhalalisha uzembe wa Raisi.
..maelezo yako hayajanishawishi.
Huko jeshini na sercret service ni order mkuu, kuna yule canal alikuwa mkuu wa wilaya akaomba apangiwe sehemu nyingine akafukuzwa jeshini moja kwa moja.Soma reply yangu nzima. Mbona mnakuwa wagumu hivi, mnadhani Rais ni chuma au jiwe lile halielewi.
Kama unaumwa au una matatizo yako yatakayokuzuia kufanya kazi, au kama una ushauri unaweza toa na mkakubaliana na Rais ugumu uko wapi?
Narudia tena. Mtu yeyote anaweza kukataa kazi anayopewa na Rais na akatoa sababu wakakubaliana asiifanye. Lowassa alijiuzuru kuwa PM na akakubaliwa. TISS ingekuwa ya maajabu sana basi DG asingekuwa anapelekwa nje ya nchi angekuwa anauwawa. Mnaifanya TISS ionekane kundi la kishetani na waliopo ni majini
Tena iyo Chief of staff ni tofauti kama ile ya kijazi na bashiru ile ni katibu mkuu kiongozi. Hii Diwani alitopewa ni katibu mkuu tuu. Kazi yake ilikuwa kuandaa mafaili tu yani alikuwa hana tofauti na secretary.Wewe hujui unachosema, chief of staff ipi ya ikulu?. Usitumie neno Chief of Staff vibaya.
Yaani utoke kuwa boss wa majasusi taifa zima uende kuwa katibu wa ikulu tena utoe taarifa za kila siku kwa boss wa majasusi aliyekua mdogo kwako halafu unauliza kama no demotion?. Hivi hua vichwa vyenu vimejaa nn?
Umoja party?Hadi 2025 tutaona na kusikia mengi sana mwisho atajiunga kile chama pendwa cha vijana