T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Soma reply yangu nzima. Mbona mnakuwa wagumu hivi, mnadhani Rais ni chuma au jiwe lile halielewi.Umeanza vizuri hoja yako lkn umemalizia vibaya.
Kazi nyingine ndiyo zina hizo options z a kukataa uteuzi kkn siyo za vyombo vya ulinzi na usalama bosi. Uko hapo nyonyo?
Kama unaumwa au una matatizo yako yatakayokuzuia kufanya kazi, au kama una ushauri unaweza toa na mkakubaliana na Rais ugumu uko wapi?
Narudia tena. Mtu yeyote anaweza kukataa kazi anayopewa na Rais na akatoa sababu wakakubaliana asiifanye. Lowassa alijiuzuru kuwa PM na akakubaliwa. TISS ingekuwa ya maajabu sana basi DG asingekuwa anapelekwa nje ya nchi angekuwa anauwawa. Mnaifanya TISS ionekane kundi la kishetani na waliopo ni majini