Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Kuna katibu mkuu kiongozi kama kina kijazi na bashiru. Halafu kuna katibu mkuu tu ambayo ndio Diwani alipewa ambapo kazi yake ni kuandaa mafaili tu yani ni kama usecretary.Ila Chief of Staff ni Katibu Mkuu Kiongozi
Diwani Athman atenguliwa ikulu.
View attachment 2469855
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Wanadai rais nae ni binadamu. Ukiwa uliza tangu lini urais umekoma kua taasisi, wanavimba mashavuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo rais kwanini asingeamua mara ya kwanza? Hii maana yake nini?
Unapelekwa place of domicile ukistaafishwa kama Diwani.Kwa iyo KIPILIMBA place of domicile ni Botswana?
Mambo ya usalama yalivyo, unaweza kuta wakati huu yupo kizuizini 🤣🤣🤣Kwani kukataa nishingapi?
Nahuyo mtenguliwa mwenyewe anasemaje?
Mahendeka ni msukuma ,safi sana
Kipilimba yupo kwake Wazo katulia kama nungununguKwa iyo KIPILIMBA place of domicile ni Botswana?
Ndio matisho ama!!?Askari polisi,Corporal Mataba aliyempiga risasi Marehemi DGIS Imran Kombe yuko wapi siku hizi?
Mbona Kanali mkisi wa JW alikataa ukuu wa mkoa kipindi Cha jiweKukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)
Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakatai wakiitwa kwenda kwa Mh. Ikulu? Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Chief of Staff ni katibu mkuu kiongozi sio katibu mkuu wa ikuluKatibu mkuu,ni chief of staff wa Raisi,ni boss wa watumishi wote Ikulu!!,
Sasa maadam katumbuliwa,akae mkao wa kula,inaelekea haivi na boss,awe makini yasijeyakamkuta yq Imran Kombe
Karibu Expart dr nilikumic humu
Kwani wanamtangaza kabla hajakubali hiyo nafasi?Diwani itakuwa kakataa demotion
Inawezekana hizi siku 2 kaleta kidomodomo! Hizi kazi za kuishi kwa upanga, ni rahisi mwisho kufa kwa upanga! Tena walewale wanakugeuka unabaki unashangaa. Inawezekana kabisa yupo mahala salama wakati huuUnapelekwa place of domicile ukistaafishwa kama Diwani.
P
Bora shule zifunguliwe,, jf siku hizi imevamiwa, yani mpaka watoto wa michepuko yetu tupo nao humu..Nimekuuliza swali jepesi Aisha badala ujibu unaleta mambo yakusadikika namimi ninyi wanawake wote huwa nawaheshimu sana