Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Katiba ndivyo inavyosema?

Diwani sio wa kwanza kuukataa uteuzi!

Hata Chegeni pia aliukataa uteuzi wa kuwa RC.
Hovyo kabisa, Chegeni ashachinja ng'ombe na kufanya sherehe kijijini Mkula afu aukatae uteuzi? Huna unalolijua.
 
Hana uwezo wa kukataa. Rais kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ndiye kamanda mkuu, na hawa wengine ni recruits. Kila wanachoambiwa, ni lazima waitikie, 'Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu'.
Wazushi sana hawa, aliondolewa yule Ernest Mangu, akawekwa kando kwanza then akateuliwa kuwa balozi na hakukataa.
Huyo huyo Diwani aliondolewa kwenye nafasi ya DCI na kupelekwa kuwa RAS hakukataa
Aliondolewa Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule na kuteuliwa kuwa balozi hakukataa, eti leo Diwani ndiyo aje akatae
 
sasa hapo ndo unapofeli.
chegen alikua na mamlaka gani kwenye usalama wa nchi.

huyu ni shushushu na ana siri nyingi sa watu.
watampotezea na atachanganyikiwa
Kumpoteza mtu kama huyu basi atakuwa kiazi yeye mwenyewe.
 
Huyu jamaa si alitumbuliwa na magufuli?
 
Yule Yupo Sana Haya Mengine Ni Uzushi Mtupu
 
SI ajabu kukata uteuzi.hata wakati magufuli Kuna jamaa huko mwanza kutoka kampuni ya simu alikataa.
Labda nafasi aliyoshika ndio inaleta maswali
 
Nao unakua wewe. Eti umtemee mate.! Akili za vijana wa bavicha hizi
 
Si umesema amekataa kusarenda mawasiliano na siri za serikali au ulikuwa unadanganya
Acheni mambo ya kitoto, amekataa ku-surrender siri na mawasiliano ya serikali? Acheni utoto nasema tena. Na msiandike mambo msiyojajua. We unaelewa maana ya serikali kweli? Tuwe srious ktk maana mambo mengine ni very sensitive sana hata kwa akili ya kawaida tu hata ungeambiwa jambo km hilo na babako usingekubali.
 

kwamba mamba akiwa nje ya maji ni mjusi tu!!

ndio mnamwambia haya mama yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…