Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Kawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.

Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula

I said.

=====

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

View attachment 2469861
Hadi 2025 tutaona na kusikia mengi sana mwisho atajiunga kile chama pendwa cha vijana
 
Huyu Diwani **** madudu makubwa kayafanya ajiangalie. Soon atapelekwa selo.

Kuna 'mole' anampa mama faili moja baada ya jingine, la maovu ya Diwani.
Hivi ndo wa kwanza kufanya madudu?
Kuwajibisha viongozi sio utamaduni wetu unless Kuna vitu personal.
Wangapi wamefanya madudu wapo tu huko,
Hamna Cha file Wala folder
 
Hivi mkuu kutoka DGIS mpaka Chief of staff ni demotion kweli?[emoji848]
I think there must be something wrong au mama alipanga amshushe kiaina bila kelele.
Wewe hujui unachosema, chief of staff ipi ya ikulu?. Usitumie neno Chief of Staff vibaya.
Yaani utoke kuwa boss wa majasusi taifa zima uende kuwa katibu wa ikulu tena utoe taarifa za kila siku kwa boss wa majasusi aliyekua mdogo kwako halafu unauliza kama no demotion?. Hivi hua vichwa vyenu vimejaa nn?
 
Hakuna mtu anayehudumu TISS na ambaye ni Member wa TISS akateuliwa kazi yoyote na Rais akagoma.

Rais atakuwa amestuka kuwa kumuweka Ikulu karibu yake mtu aliyekuwa anaendesha mission za kuonea wapinzani kutaathiri mipango yake ya zile R nne
Wewe tu ndiye mwenye akili kati ya members wote wa jamiiforum
 
Hivi wewe na unayemjibu Nani mvuta bangi? Unadhani uteuzi wa rais ni sawa na wa babako kuwa mjumbe wa mtaa?
Naona na wewe umeamua kujisogeza ili udhihirishe ujinga wako, karibu.
'Afisa'
Kugomea uteuzi wa Rais ni uhaini?
 
Kawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.

Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula

I said.

=====

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

View attachment 2469861
Nilisema jana hapa huu ujinga wa tengua teua kwa visasi na chuki kutengeneza team inayompendeza mtenguaji/mteuaji ni ujingaa..
Si kila mtu yuko tayari kwa maujingaujinga hayo.

Tunahitaji katiba mpya haraka saana..

Huu upuuzi ukome.
 
Sijui ni wapi kuna error kati ya uteuzi na alie teuliwa.
Ila kama makosa kama haya yanafanyika wazi hivi kila anasikia anaona kuna kasoro na wahusika wanaona kawaida basi tatizo letu kama taifa ni kubwa sana na tumaini la kutoka hapa halipo tena.
 
Hakuna mtu anayehudumu TISS na ambaye ni Member wa TISS akateuliwa kazi yoyote na Rais akagoma.

Rais atakuwa amestuka kuwa kumuweka Ikulu karibu yake mtu aliyekuwa anaendesha mission za kuonea wapinzani kutaathiri mipango yake ya zile R nne

IGP Wambura vipi naye tutegemee atapewa uteuzi mwingine ?

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai naye atapangiwa kazi nyingine ?
 
Back
Top Bottom