Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athman atenguliwa ikulu.

View attachment 2469855

=========

Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Mbona ghafla. Furaha hayijakauka tayari amepewa majonza.
Mama mbona utasababisha wegine wapate ma bp. Yote ni kheri
 
Mtu unaweza elewa raisi kutofikiria sana kwenye teuzi huko kwenye serikali za mitaa. Asijali sana wateule wanaleta nini mezani so it’s OK watu kama kina ‘mama totoo’, Nikki wa Pili na ghasia wengine kujikuta wameulamba.

Lakini kukosea teuzi sensitive na kuwafuta watu kazi kabla ya ata kuanza ni kielelezo tosha ‘the lady is not serious on the job’ and doesn’t understand most roles serikalini as yet anateua akiambiwa roles za watu anapangua tena huko ni ofisini kwake. Sasa huko kwenye wizara si ndio balaa katujazia vilaza wala aoni shida kisa hayamuhusu.
Kuwa makini na maneno yako
 
Wewe hujui unachosema, chief of staff ipi ya ikulu?. Usitumie neno Chief of Staff vibaya.
Yaani utoke kuwa boss wa majasusi taifa zima uende kuwa katibu wa ikulu tena utoe taarifa za kila siku kwa boss wa majasusi aliyekua mdogo kwako halafu unauliza kama no demotion?. Hivi hua vichwa vyenu vimejaa nn?
Vichwa vimejaa mlenda

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mahendeka ni msukuma ,safi sana
Maendeleo ni mkerewe.
jamaa sijui kasoma sheria ya nchi gani hiyo, na picha lake la chama cha mambuzi, anacomment vitu ambavyo havipo kabisa, eti mbowe alined kwenye uapisho wa magufuli akili mbovu hii,, jana tu kenya odinga hajaenda kwenye uapisho wa ruto na hakuna lll , na hajui kama felony ni kosa linasomeka kwa pamoja kwenye penal code zetu tulizo copy toka india
L
Mahendeka ni msukuma ,safi sana
 
Back
Top Bottom