Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ghafla. Furaha hayijakauka tayari amepewa majonza.Diwani Athman atenguliwa ikulu.
View attachment 2469855
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Mkuu Diwani ni askari polisi mpaka sasa hivi, anawezaje kukataa assignment?Kwani wanamtangaza kabla hajakubali hiyo nafasi?
Kanali Mkisi alikataa ukuu wa mkoaMavi ya kuku. Hivi nani mwenye uthubutu wa kukata Appointment ya Raisi baada ya kuteuliwa. Tena on a very sensitive and high profile post like this?!!!.
Amen amen shukran sana ni maombi yangu kwako pia MalcomPrishaz ndugu yangu wa nguvu, heri ya mwaka mpya kwako pia. Mimi nakuombea fanaka na heri 2023 ili tuendelee kukaa wote kushuhudia ujenzi wa Babeli...
Jamaa kazingua full stopUkute Diwani amekataa kuwa hapo.
Au huenda Rais kasikiliza mawazo ya wanaJF
Tukuite mbwaNashauri huyu aliyetenguliwa Chadema wamchukue ili awe mshauri wa Mwenyekiti wao. Watanishukuru baadae, niko palee nimekaa
Mbona fasta?
Kuwa makini na maneno yakoMtu unaweza elewa raisi kutofikiria sana kwenye teuzi huko kwenye serikali za mitaa. Asijali sana wateule wanaleta nini mezani so it’s OK watu kama kina ‘mama totoo’, Nikki wa Pili na ghasia wengine kujikuta wameulamba.
Lakini kukosea teuzi sensitive na kuwafuta watu kazi kabla ya ata kuanza ni kielelezo tosha ‘the lady is not serious on the job’ and doesn’t understand most roles serikalini as yet anateua akiambiwa roles za watu anapangua tena huko ni ofisini kwake. Sasa huko kwenye wizara si ndio balaa katujazia vilaza wala aoni shida kisa hayamuhusu.
Vichwa vimejaa mlendaWewe hujui unachosema, chief of staff ipi ya ikulu?. Usitumie neno Chief of Staff vibaya.
Yaani utoke kuwa boss wa majasusi taifa zima uende kuwa katibu wa ikulu tena utoe taarifa za kila siku kwa boss wa majasusi aliyekua mdogo kwako halafu unauliza kama no demotion?. Hivi hua vichwa vyenu vimejaa nn?
LMaendeleo ni mkerewe.Mahendeka ni msukuma ,safi sana
jamaa sijui kasoma sheria ya nchi gani hiyo, na picha lake la chama cha mambuzi, anacomment vitu ambavyo havipo kabisa, eti mbowe alined kwenye uapisho wa magufuli akili mbovu hii,, jana tu kenya odinga hajaenda kwenye uapisho wa ruto na hakuna lll , na hajui kama felony ni kosa linasomeka kwa pamoja kwenye penal code zetu tulizo copy toka india
Mahendeka ni msukuma ,safi sana
Shida intelligence imejaa rushwa,watu wanapenyezwa tu kihuniDiwani Athman atenguliwa ikulu.
View attachment 2469855
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Sasa ulidhani Ikulu Katibu wake aende nani? Wanaweka Jasusi bobeziKumbe naye ni TISS
Ndio nilikuwa namjibu huyo jamaa kuwa swala la kukataa hiyo nafasi kwa maamuzi yake halipoMkuu Diwani ni askari polisi mpaka sasa hivi, anawezaje kukataa assignment?
Kwani teuzi kubwa hivi huwa wanapeana bila kuharifiana? Au wanachaguana kama kumuweka Mwl wa nidhamu?Itakuwa jamaa kachomoa. Huu ndio uanaume. Huwezi kuwa DGIS kisha ukakubali kwenda kuwa Katibu Ikulu. Kudharirishana na upuuzi tu.