Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa na sababu ya kwenda kuongea na nyombo vya habari masuala yaliyotakiwa yajadiliwe ndani ya vikao vya chama. Huyo diwani ni kiongozi tena ni mmoja wa madiwani wanoheshimika Arusha alishindwa nini kushawishi kikao cha ndani kiitishwe?Kwamba kwa sababu ni sehemu muhimu ya mageuzi basi hana mapungufu na wakiyasema mapungufu lazima wafukuzwe uanachama!
Hiki kweli ni chama cha Demokrasia na Maendeleo!
Mbona huyo huyo Lema Kuna kipindi alimkosoa mhe. Lowassa kwa kutumia social network wakati lowassa yupo chama Cha chadema alipoenda kukutana na Magufuli ikulu mbona hakutumia vikao vya chama na Wala hakuchukuliwa hatua zozote na chama chake.Tusipende kutanguliza mahaba kwenye mambo ya msingi.Hakuwa na sababu ya kwenda kuongea na nyombo vya habari masuala yaliyotakiwa yajadiliwe ndani ya vikao vya chama. Huyo diwani ni kiongozi tena ni mmoja wa madiwani wanoheshimika Arusha alishindwa nini kushawishi kikao cha ndani kiitishwe?
Huyu diwani alishafika bei kimyakimya sema yeye aliona aibu kuunga juhudi hadharani badala yake kupitia njia nyingine.
UKWELI GANI WAKATI AMESHAFIKA BEI! MA CCM ACHENI UZUZU!Kwa mwendo huu wa kuambiwa ukweli watafukuzwa wengi!
Kwaiyo na nyie mkimkosoa magufuli no wasaliti? Au nyie utamu kunoga kukosoa wengineChama cha Demokrasia maneno lakini sio matendo!
Utaratibu wa chama ufuatwe. Nyie akina January kuongea tu kwenye simu in person wala si hadharani wakalazimika kutembea kwa magoti. Wangeongea na vyombo vya habari ingekuwaje? Si wangeenda kuomba msahama kifudifudi?Mbona huyo huyo Lema Kuna kipindi alimkosoa mhe. Lowassa kwa kutumia social network wakati lowassa yupo chama Cha chadema alipoenda kukutana na Magufuli ikulu mbona hakutumia vikao vya chama na Wala hakuchukuliwa hatua zozote na chama chake.Tusipende kutanguliza mahaba kwenye mambo ya msingi.
Taratibu za kukosoana ziko kikatiba na zinapaswa kufuatwa.Kama ambavyo wao wanakosoa, wao pia walipaswa wawe tayari kukosolewa.
Wewe lazima utakuwa mfuasi mzuri wa kamanda msaliti, maana wafuasi wote ni wazuri sana kwa matusi bila hoja zozote za maana. Komaa kamanda, matusi ni mtaji mzuri kwenye siasa za upinzani 👏🏿👏🏿✌🏿🤞🏿👌WeweKILAZA TUU, MGANGA NJAA NDIO MAANA HUJAPATA UTEUZI HATA WA UDIWANI. NJAA MBAYA SANA
Angepewa hata onyo lakini sio kumfukuza,Kwa hali hii walau CCM kuna demokrasia maana kama wanachama "walimtukana" mwenyekiti na wakasamehewa ina maana kule walau kuna uvumilivu kidogo.Hakuwa na sababu ya kwenda kuongea na nyombo vya habari masuala yaliyotakiwa yajadiliwe ndani ya vikao vya chama. Huyo diwani ni kiongozi tena ni mmoja wa madiwani wanoheshimika Arusha alishindwa nini kushawishi kikao cha ndani kiitishwe?
Huyu diwani alishafika bei kimyakimya sema yeye aliona aibu kuunga juhudi hadharani badala yake kapitia njia nyingine. Haiwezekani ajifanye hajui sababu za madiwani na hata wabunge wa nyama vya upinzani kuacha nafasi zao na kuhamia upande mwingine? Lazima anajua manunuzi makubwa yanayofanywa na wenyewe kufika bei.
Amesema vikao vya ndani vinafanyika lakini Godbless Lema hahudhurii!Wako sahihi kumfukuza maana kuna vikao vya Ndani
Unajiita Money afu hujui hata masuala ya uchumi?LEMA ANA U BILLIONAIRE GANI HASA? BAKHESA MWENYEWE NA UTAJIRI WOTE ULE BADO HAJAFIKIA U BILLIONAIRE.
Aende mahakamani ili aendelee kuwa Diwani wa mahakamaDaah Doita amepishana na fungu kutoka kwa wanunuzi maana amewahiwa kabla hajaunga mkono juhudi.
dodge
Kumbuka mtu anayependa sana kukosoa huwa hapendi kukosolewa!Hapa ndo wanaponishangaza chama hiki Cha chadema wao wanapenda kukosoa wengine wao wakikosolewa inakuwa nongwa sasa Hiyo democrasia wanayoubili ni ipi?
Democracy is not a kin to an African cultureChama cha demokrasia kisichokuwa cha kidemokrasia.
Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama.
Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza hata Udiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa sababu Diwani lazima awe na udhamini kutoka chama cha siasa.
Ikumbukwe kuwa Juzi kupitia vyombo vya habari, Diwani Isaya alimtuhumu vikali Mbunge Godbless Lema kuwa hajitambui na hajui majukumu yake kama Mbunge, Mwenyekiti wa Kanda na Mjumbe wa Kamati Kuu ambapo imesababisha chama kudhoofika na kukimbiwa na baadhi ya Madiwani wa Jiji la Arusha.
Ukitaka kusoma na kuangalia video ya tuhuma unaweza kugonga Link hii;
LINK>>>CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake
Barua ya kumvua uanachama
![]()
Video ya tuhuma kwa Godbless Lema
[/QUO
Kuelekea kwenye uchaguzi mwaka huu tutashuhudoa Mambo mengi,
Hapa upo sahihi kabisa. Ile kutoa tu mtazamo wake haikutosha kuondolewa uanachama mara moja tena ndani ya saa 24. Ilitakiwa onyo kwanza. Huyu diwani tunamfahamu vizuri, ni mtu committed na CDM pamoja na majukumu yake ya udiwani. Si mropokaji wala mkurupukaji. Kuna wakati Komu na Kubenea walileta hitilafu la kiuongozi ndani ya chama lakini chama kikamalizia mambo yao kimyakimya na wao kuomba msamaha. Kwanini haraka haraka kwa huyu diwani? Lema na wenzake ajipime, wanapwaya mno.Angepewa hata onyo lakini sio kumfukuza,Kwa hali hii walau CCM kuna demokrasia maana kama wanachama "walimtukana" mwenyekiti na wakasamehewa ina maana kule walau kuna uvumilivu kidogo.