Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Ya Arusha huyajui
 
Madaraka kwanza halafu baadaye ndio watazungumzia matatizo ya wananchi waliowapa madaraka!

Godbless Lema wa leo ni milionea kama sio bilionea kutokana na biashara ya siasa!

Selfish politics is the order of the day!

Membe, Kinana na Makamba wanaitwa na ccm kwenda kujadili mradi gani wa maendeleo?
 
Me nipo neutral kwenye mambo ya vyama. Ila njia aliyoitumia Mhe. Diwani si ndio njia hiyo-hiyo mnayoitumia kwa washika dola?. Je!, alifanya sahihi kumkosoa au la?.
Kabla hata vyama havikusajiliwa kwanza vilitengeneza Katiba zake zikapelekwa kwa msajili na kuruhusiwa kutumika , ni lazima mwanachama yeyote afuate katiba ya chama chake , vinginevyo atafutwa uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uko sahihi mno, Zito alitimuliwa na cdm akaenda kuanzisha chama kisa huko cdm hakukuwa na demokrasia, aliokwenda nao wakionyesha kunyimwa demokrasia ni Kitila Mkumbo, Anna Mghwira, afande Sele nk. Leo bado wako ACT? Je wakati wanahama walisema nini kuhusu Zito?
 
Katibu wa Kata wa Chama ana uwezo huo wa kumfukuza uanachama na uongozi
 
Eti chama.cha demokrasia na maendeleo,ujinga mtupu,acha Magufuli awaburuze tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Chama cha "DEMOKRASIA" hiki!
na ashukuru hayajamkuta ya Tundu.
 
Kuhama ni tofauti na kufukuzwa. Katika hai nani amefukuzwa?

Amandla......
 
Ni zamu yake kuburuza, ila hata yeye ataburuzwa tu, nani alitarajia Lowassa, Membe, Sumaye nk nao wataburuzwa?
Kweli Mkuu.
...Yaani unamgusa hadi JOYCE, halafu tukuangalie tu eti demokrasia?
Watch out, Not to that extent.
 
Utaratibu wa chama ufuatwe. Nyie akina January kuongea tu kwenye simu in person wala si hadharani wakalazimika kutembea kwa magoti. Wangeongea na vyombo bus habari ingekuwaje? Si wangeenda kuomba msahama kifudifudi?
Me sio CCM Wala Sina chama chochote Cha siasa nimezungumza kutokana na reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…