Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Tatizo kubwa LA upinzani hawana uvumilivu, je vikao vilifanyika pamoja Na kuitwa? Au udikteta tu
 
Tatizo kausema hadharanj pia, alipaswa kuusema kwenye vikao
 
Unataka wayasemee wapi wakati mikutano ya hadhara ndo hivyo tena na ile ya ndani inahitaji hisani ya OCD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana. Watakuwa wamemuiga Magu alivyomtimua Sophia Simba
 

Huyu jamaa ni mzuri kwa sehemu fulani, ila tatizo lake nimkurupukajihajsiyejua mipaka ya kaz/nafasi yake.

Anaingiliaga hata viongozi wa taasisi nyingine kama shule nk.
 
Sababu za kuhama?
Hazina umuhimu maana kila mmoja alikuwa na sababu zake. Cha msingi ni kuwa waliondoka kwa hiari yao na hawakufukuzwa. Na huko walikohamia wanaendelea vizuri tu na shughuli zao.

Amandla.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…