TANZIA Diwani wa CCM na Mwenyekiti Halmashauri Wilaya ya Nzega afariki kwa ajali

TANZIA Diwani wa CCM na Mwenyekiti Halmashauri Wilaya ya Nzega afariki kwa ajali

😁😁😁
Yes,
safari ya kiongozi imetamatika katika dunia hii,
nasi tunaoendelea kuishi kwa zawadi ya baraka ya uhai tunamshukuru Mungu na tunasonga mbele mpaka pale atakapoamua vinginevyo sawasawa na mapenzi yake.

hakuna kiherehere kwenye hilo :1Head:
 
Hakuna kiongozi sema Mwizi wa kura amefyekelewa mbali
tuliza mihemko bas gentleman,
hakuna haja ya kua na kiherehere binadamu anapo tamatisha muda wa uhai wake kwenye dunia hii, hiyo ni kazi ya Mungu na sio lofa kama wewe :1Head:
 
tuliza mihemko bas gentleman,
hakuna haja ya kua na kiherehere binadamu anapo tamatisha muda wa uhai wake kwenye dunia hii, hiyo ni kazi ya Mungu na sio lofa kama wewe :1Head:
Kesho i can assure you unamfuata mwizi mwenzako kwa njia hiyo hiyo
 
Hii habari naomba iwe ya kweli.
hakuna haja ya kueleza uongo ikiwa binadamu kaitwa na Mungu,

kwa watu wenye imani tunamshukuru na kusonga mbele,
nadhani washirikina kama wewe ndio hubabaika, right? :1Head:
 
hakuna haja ya kueleza uongo ikiwa binadamu kaitwa na Mungu,

kwa watu wenye imani tunamshukuru na kusonga mbele,
nadhani washirikina kama wewe ndio hubabaika, right? :1Head:
Nasema hivi, naomba houo habari iwe ya kweli. Kipi hakieleweki hapo 🌈
 
Back
Top Bottom