Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Ameharibu sana gari
Bora hata wao wana mwili wa kuzika.Kwao Nzega huko
Kana kwamba huna dhambiHakuna cha r.i.p, aende atoe hesabu ya kura alizoiba mbele ya Mungu shenzi
Kafukue hayo maelfu ya maiti zilizozikwa makaburi ya halaikiBora hata wao wana mwili wa kuzika.
Familia za Soka, Mdude, Azory Gwanda, Dioniz Kipanya, Chaula , Polepole walitamani hata wapate mifupa yao wazike kwa heshima ila wameishia kuzika nguo na wengine walikataa tamaa na kuamua kuacha tu.
October 29 maiti maelfu zimefukiwa katika kaburi la halaiki na ndugu walizika picha, viatu, nguo na wengine waliamua kuacha tu kutokana na machungu.
Chadema ni disgraceKama taifa tumefikia kubaya
Watu walipiga kuraDiwani?
Nani alimchagua kua diwani?
Mkuu nguvu iliyotumika hapo kusababisha ajali kwenye gari kumuua diwani kama wanavyomuita ilikua sawa sawa na tukio hivyo tushukuru tu kwa hiki kidogo kilichotokea .Nimeona watu wanashangalia vifo vyao kwani hawa jamaa wamekosea wapi Hadi wananchi washangilie kiasi