TANZIA Diwani wa CCM na Mwenyekiti Halmashauri Wilaya ya Nzega afariki kwa ajali

Kwao Nzega huko
Bora hata wao wana mwili wa kuzika.

Familia za Soka, Mdude, Azory Gwanda, Dioniz Kipanya, Chaula , Polepole walitamani hata wapate mifupa yao wazike kwa heshima ila wameishia kuzika nguo na wengine walikata tamaa na kuamua kuacha tu.

October 29 maiti maelfu zimefukiwa katika kaburi la halaiki na ndugu walizika picha, viatu, nguo na wengine waliamua kuacha tu kutokana na machungu.
 
Kafukue hayo maelfu ya maiti zilizozikwa makaburi ya halaiki
 
Watanzania wote wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu tumefurahi sana, tunaomba hilo gari lipelekwe gereji na tunaliombea lirudi barabarani haraka iwezekanavyo ili kuendelea na safari zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…