Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Umenifanya nimkumbuke mzaramo wangu pia!
Hawa watu wana mapenzi ya kudekeza na full heshima , na hawana makuu linapokuja swala la matumizi ya pesa , kama ulitokea kwenye mahusiano yenye heka heka , unaweza ukatua nanga kirahisi sana , Sishangai yaliyotokea kwa muheshimiwa diwani ,
 
Wakubwa wanafaidi
 
Nimecheka
 



Uliwezaje kujinasua?

Wenzio wengi huwa wanashindwa kujinasua na wanajikuta kuzama mazima!
 
Kumbe kuficha watu hajaanza leo jamani🤣🤣
 
Dah....nimesoma Mara 10....sijaona kosa lolote.....ama kwa Diwani....ama kwa Ashura 🤣🤣🤣🤣
 
Haiishiwi helahuyo mamayaokawaachia helanyingingisana mchungaji rwakatale



Mama yake katafuta hela kwa shida,

Pengine saingine alikuwa halali sababu ya kutafuta pesa na mali,

Lakini mtoto anazitumbua hela kirahisi na malaya !

Hapa kuna Somo la kujifunza wazazi.


Unajinyima. Unakopa mtoto akija anatumbua na kutapanya mali na malaya [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…