Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Nilikutana mtoto mmoja wa kizaramo kaishia kidato cha pili kafeli hakurudia tena shule. Yule mtoto akija juu kuikalia unaweza weweseka kuna namna flani anapanda na mboro na kushuka NATO sijawahi ona. Hawa wake zetu wenye masters na CPA kiingereza kingi hakuna kitu wanajifunza sex kupitia xvideos wanarukaruka tu.

😂😂😂😂😂 Mkuuu we ni lafa sana! Hapo kwenye kurukaruka umeongea point ya msingi
 
Nina mashaka na hizi Tuhuma Zako kama ni za Kweli, haiwezekani Mtu ana tuhuma zaidi ya Elfu Moja na zinajulikana alafu mnamuacha aendelee kuwa Diwani wenu, basi nyinyi ndio wapuuzi na hamna akiliiw

Nina mashaka na hizi Tuhuma Zako kama ni za Kweli, haiwezekani Mtu ana tuhuma zaidi ya Elfu Moja na zinajulikana alafu mnamuacha aendelee kuwa Diwani wenu, basi nyinyi ndio wapuuzi na hamna akili.
Hapa wewe ndiyo una shida. Yani, mimi sihitaji kujua hizi tuhuma ni kweli ama la, bali nawaza jinsi unavyojenga hoja yako. Yani suala la kuwa na viongozi washenzi Tz ni suala la ajabu kwani?

Unavyojua wewe, ni asilimia ngapi ya viongozi wapo kihalali? Kuna watu wana tuhuma mzigo na wapo serikalini wanalamba asali.

Kwahiyo, wewe unaamini uchaguzi uliopita ulikuwa amani na haki tupu?

Aisee, unashangaza sana. Kha!
 
Diwani alikuwa anafinyiwa kwa ndani miezi miwili, Kwa raha zake.

Ila tukumbuke hawa watoto wa Rwakatare Wana mgogoro wa mirathi, ukute Jamaa alitaka kujiweka mbali na masaibu ya dunia ndio akaamua akajifungie kwa mtoto wa kizaramo atulize kichwa, sasa kashakaa sawa kajitoa nje aendeleze mapambano.
Kitufe cha kucheka kinanigomea nimeamia kicheka kaw sauti ha ha ha.
 
Hapa wewe ndiyo una shida. Yani, mimi sihitaji kujua hizi tuhuma ni kweli ama la, bali nawaza jinsi unavyojenga hoja yako. Yani suala la kuwa na viongozi washenzi Tz ni suala la ajabu kwani?

Unavyojua wewe, ni asilimia ngapi ya viongozi wapo kihalali? Kuna watu wana tuhuma mzigo na wapo serikalini wanalamba asali.

Kwahiyo, wewe unaamini uchaguzi uliopita ulikuwa amani na haki tupu?

Aisee, unashangaza sana. Kha!
Wewe unahitaji kupimwa akili, kuna mahala nimeandika lolote kuhusu uchaguzi au kuchaguliwa kwake? Alafu kama mna diwani ambae mnaamini ni tapeli kwa nini wananchi hamgomi na hamumkatai?? Na hizo tuhuma lukuki alizonazo mmewahi kwenda juu zaidi kumshtaki aada ya kuona hapo Kawe Poli wanakaa nazo bila hatua zaidi?
Punguza makasiriko, tafuta hela.
 
Diwani alikuwa anafinyiwa kwa ndani miezi miwili, Kwa raha zake.

Ila tukumbuke hawa watoto wa Rwakatare Wana mgogoro wa mirathi, ukute Jamaa alitaka kujiweka mbali na masaibu ya dunia ndio akaamua akajifungie kwa mtoto wa kizaramo atulize kichwa, sasa kashakaa sawa kajitoa nje aendeleze mapambano.
Vipi ile tabia yako ya kuchepuka chepuka uliacha? Au bado unaendelea nayo?
 
Wewe unahitaji kupimwa akili, kuna mahala nimeandika lolote kuhusu uchaguzi au kuchaguliwa kwake? Alafu kama mna diwani ambae mnaamini ni tapeli kwa nini wananchi hamgomi na hamumkatai?? Na hizo tuhuma lukuki alizonazo mmewahi kwenda juu zaidi kumshtaki aada ya kuona hapo Kawe Poli wanakaa nazo bila hatua zaidi?
Punguza makasiriko, tafuta hela.
Mwenye makasiriko ni wewe booring old fart.Wewe ambaye hujagoma,unaongozwa na nani huyo mwema?
Au unaandika ukiwa umekalia ,kalio moja nini? Maana ndo type zenu hizo.
 
Mwenye makasiriko ni wewe booring old fart.Wewe ambaye hujagoma,unaongozwa na nani huyo mwema?
Au unaandika ukiwa umekalia ,kalio moja nini? Maana ndo type zenu hizo.
Tafuta hela, don't get angry on strangers online. It's a sign of being broke.
 
IMG-20220526-WA0024.jpg
 
Hawa watoto wanamdhalilisha Sana marehemu mama Yao mhe. Rwakatale..
Mmeanza sasa nyie watu nani kasema ni Rwakatale yuleeee Mchungaji za marehehmu??? ...ina maana basi na weye umezaliwa nani mtoto wa COVID?? je ni kweli? utafurahi ivo? ashura akamuokota!
 
Hata kama ni wewe ndo huyo Rwakatale utakataa kweli kufungiwa na Mbususu km yule Dc wa naniliu kweli?? jamani ?? acheni utani..... ukiwa na kifaa safi siku moja unaiona km dakika moja tu........

lkn wana JF humu hakuna wanausalama wa kujitegemea km Paschael Mayala kweli?? na mjiangalie sana, hii taarifa ya polisi wenu ina ukakasi kidogo!!

Mtu mzima mwenye nywele mwili mzima! afungiwe ndani hata yaani week tu!! inakuja kweli??.......taarifa zooote hizo zinarindima tu yey pombe haijaisha!! Idara ya Polisi na nyie bana muwega mnafikiria jinsi ya kuwasilisha taarifa zenu hizo kwa watu wenye akili km sie!!.....

unashusha gujitaarifa kama gwa kubumba bumba hivi!!......mnatia shaka bana...hivi mapoti siku hizi hawapo nini huko?? mnapoteza karatasi zetu kuandika mitaarifa ya hovyo hovyo au kuna kitu mnaficha??

Mabaki ya wasiojulikana kuisha kabisa kabisa ni ngumu sana!!...itatuchukua muda.....km .hilo rijamaa rilevi mngelipeleka peleka kilevi vilevile!!.....lkn mmetafuta maelezo weeee!! ...kunakitu hapo mnaficha ngoja niingize team yangu kazini itanipa majibu.....
 
Kwa hiyo hapo sijaelewa. Hiyo Ashura anasema,"Diwani amefika leo tu,halafu,hapo hapo,Polisi wakatokea kumkamata."
Kwa hiyo ina maana Polisi pia wanashiriki katika kuficha huyu mtu alikuwa wapi miezi miwili ?
 
Back
Top Bottom