Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Ahsante sana. Endelea na mamishedede yako. Kizazi kikisogezwa usije hospitalini kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mikunyenge kwa kwenda mbele, sasa raha ya mzagamuo nn? Unazama had utumbo unapanda juuu.

Woyoooooooooooh
 
Hizi ni tambia mbaya za wanachama wetu watiifu
 
.
IMG-20220526-WA0000.jpg
 
KARIBUNI IBADANI JUMAPILI TUMKEMEE SHETANI
 

Attachments

  • FB_IMG_16535221729201592.jpg
    FB_IMG_16535221729201592.jpg
    65.2 KB · Views: 17
Huyo jamaa si ndo yule mtoto wa marehem Getrude Rwakatale aliekua anajitambulisha kwenye msiba kuwa..

Mimi ndiye mtoto wa muheshimiwa Getrd Rwakatale naitwa Muheshimiwa Rutta Rwakatale
Kwa sasa tumekutana familia Kaka yangu Muheshimiwa ... Na dada yangu Muheshimiwa ...
Baada ya kikao waheshimiwa tutatoa ratiba kamili ya mazishi ya Muheshimiwa mama yangu

Yaan kila kitu muheshimiwa sahivi ukimuhoji utaskia.. Nilikua kwa Muheshimiwa mpenzi wangu Ashura
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
'.….amekabidhiwa kwa ndugu zake kwa matibabu na ....kisaikolojia'' imeisha hiyo!


Nasubiri wazee wa 50/50 watie neno. Hivi ingekuwaje mtekwaji angekuwa mwanamke na mtekaji mwanaume[emoji849][emoji849]

Sijui hizi sheria kuna sehemu zinafumba macho!
 
Pole mkewe. Huyu mtoto wa mama Rwakatare ni mlevi kupindukia. Na hivi mama yake hayupo duniani kwa sasa,hall ndo imekuwa mbaya zaidi. Ajiuzulu tu huo udiwani.
Huyo hatukumchagua sisi.Mzee alimchongea huko.Sijui mzee alimwonaje kwani hata sisi tulishangaa.Wako wengi wa aina yake,Tusubiri wanakuja kwa group tena kwa kasi.
 
Back
Top Bottom