Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watani zangu wanjengewe sanamu pale mnazi mmoja
Nilikutana mtoto mmoja wa kizaramo kaishia kidato cha pili kafeli hakurudia tena shule. Yule mtoto akija juu kuikalia unaweza weweseka kuna namna flani anapanda na mboro na kushuka NATO sijawahi ona. Hawa wake zetu wenye masters na CPA kiingereza kingi hakuna kitu wanajifunza sex kupitia xvideos wanarukaruka tu.
 
Huyo Ashura mnayemsifia sio lolote wala chochote, nitamnunulia gari siku akimpoteza Masanja Mkandamizaji [emoji23][emoji23]
 
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.


Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
Vichekesho vingine hivi ni zaidi ya bongo movie yaani.
 
Kesi inatakiwa iwe Mahakamani na Sio Polisi. Polisi ni tuhuma tu. Mimi mwenyewe namfahamu Muta pia tumeishi nae Kkoo kabla hawajahamia Mikocheni na US Alabama ili mimi nilitangulia kurudi Bongo. Namfahamu tumekua wote.
Mkuu kwani we mtu akikuibia unaenda kuripoti wapi?

RB unapewa wapi?

Km huamini nenda pale kawe polisi kaulize ma file yake
 
Back
Top Bottom