myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa...Polisi imewavunjia faragha zao diwani na Bi. Ashura.
Wangesema amepatikana tu na kuwaachia waandishi wa habari za udaku hayo mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa...Polisi imewavunjia faragha zao diwani na Bi. Ashura.
Wangesema amepatikana tu na kuwaachia waandishi wa habari za udaku hayo mengine
Duh!!.. ni hatari huyoAkujuwaga na mahusiano na jamaa mmja namjua kitambo sana,anaitwa rama baunsa kwa watu waliyokaa Kino watamjua,jamaa aliporwa na macheni jamaa mpaka leo kama kadata fulani
Katikati tena kuna mtu namjua mbongo anaishi ujerumani mtoto wa stereo eti alitaka kumuoaa na amchkue ampeleke nje
I Ilibidi watu tukae kamati tumuweke chini jamaa tumulize,kichwan yuko sawa au alipewa nn
Alikuwaga na bar yake Togo pale mabalaa ndani yalikuwa yakifanyika si ya kitoto
Inshort ni mwanamke ukiwa naye lazima upoteee
Mimi akinionaga ananitaka kaka
Kana mambo mengi haka kadada
Ova
Wewe si ulinipiga kibuti? Uliona nitafaidi sana. Mi namwachia Mungu. Iko siku utanikumbuka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bado wee, tena wee ndo utafia kifuani kabisaaa.
He!!,...Macheni nae mtoto wa mjini alilewa nini.Ashura huyu demu anatumia dawa gani? kala hela za marehemu mcheni kamfilisi vijihela vilivyokuwa vimebaki akafungua ka bar pale karibu na mateja mwananyamala kituoni sijui bado ipo?
yaani uliikuwa unamkuta marehemu macheni pale anatia huruma na macheni yake sijui feki yale halafu bibiye pembeni kapakatwa na yule m congo muimbaji wa Diamond sound anaitwa liva sultan ambaye alikuwa analelelewa na huyu dada
Sasa nalipaje bila account namba..😂🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh na malipo ya chimbo ndo umekausha? Au unataka mwenzio nisionekane mwezi mzima?
Usiniafanyie hivyo lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuulize Tegete alikuwa anapewa nini maana alifungiwa hivihivi kuachiwa na mpira umeisha[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.
Makafili mnatabu sn Hata km mada haihusiani utajitahidi mpk ukashifuAshura ajengewe sanamu, kamwakilisha vyema mnyaazi katika yale maandalizi ya midume 72.[emoji1787]
Hata mimi ninatamani nipotee kwa staili hii. Hii mijimama ya Kizaramo inajua sana. Nataka nikamuliwe haswa,nikitoka huko naanza moja.Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.
Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.
Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
Duu mkuu kama huamini muulize mtu kama mrangi atakuwa ana mjua vema Muta sijamjua leo wala janaNina mashaka na hizi Tuhuma Zako kama ni za Kweli, haiwezekani Mtu ana tuhuma zaidi ya Elfu Moja na zinajulikana alafu mnamuacha aendelee kuwa Diwani wenu, basi nyinyi ndio wapuuzi na hamna akili.
Ashura ajengewe sanamu, kamwakilisha vyema mnyaazi katika yale maandalizi ya midume 72.🤣
Jerry Tegete nae alipita kwa Ashura ?Tumuulize Tegete alikuwa anapewa nini maana alifungiwa hivihivi kuachiwa na mpira umeisha
Kwanin mnawaza limbwata tuu na sio mambo mengine[emoji23][emoji23]?labda inawezekana Ashura anachompa jamaa mke wake hawezi kumpa [emoji9][emoji849][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzaramo mchezo? Ukute amempa limbwata la kisasa, hachomoki kamweeeee.
Inasikitisha madawa ya kulevya kabisa yamemuharibu. Mkewe aachane kabisa.Ikute kuna watu wanamwambia vumilia tu.Jamaa alitumika haswa mana amechoka kweli unaweza sema ni mnywa gongo na vimiguu vyembamba kweli😂
Ila huyu Ashura si grid ya taifa kitambo sana muache akojoe uzuri... tafakari chukua hatua.Jamaa anakojoa pazuri
So sad....Kwa hali hii mama ake atakuwa anageukageuka huko kaburini.Jamaa alitumika haswa mana amechoka kweli unaweza sema ni mnywa gongo na vimiguu vyembamba kweli😂
Unaambiwa vumilia, mmezaa, fikiria watoto kwanza.Inasikitisha madawa ya kulevya kabisa yamemuharibu. Mkewe aachane kabisa.Ikute kuna watu wanamwambia vumilia tu.
Kata.Diwani mlevi katelekeza jimbo
Kesi inatakiwa iwe Mahakamani na Sio Polisi. Polisi ni tuhuma tu. Mimi mwenyewe namfahamu Muta pia tumeishi nae Kkoo kabla hawajahamia Mikocheni na US Alabama ili mimi nilitangulia kurudi Bongo. Namfahamu tumekua wote.Duu mkuu kama huamini muulize mtu kama mrangi atakuwa ana mjua vema Muta sijamjua leo wala jana
Huyo ana kesi za viwanja km zote pale kawe