duuh mkuu basi mama alikua tajiriWanawake huwa wavumilivu sana kwenye pesa.
Mama Lwakatare ndie mwanamke tajiri kuliko wote Tanzania.
Hao watoto ni mabilionea
Mke anaanzia wapi kukosa moyo na uvumilivu..
Sio rahisi kupata mume kutoka koo tajiri
Mbwa mkubwa! Huyu mpuuzi kuna kitu anakitafuta na atakipata hivi punde. Kama hawezi kutulia si aoe tu? Kwani hawa wasichana wote wasiokuwa na waume waliojaa kwenye kanisa la mama yake amekosa hata mmoja wa kumuoa amtulize? Mfyuuu zake! π π π πNdio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
Kubabake zake. MAGUFULI ALITULETEA VIONGOZI HAWA.
Km Wako Baby ebu nambie akiwa mmeo utafanyaje??? viboko au....Mke wake ana moyo
[emoji1787][emoji1787]mimi kitu siwezi vumilia ni kipigo, hata kofi tu narudi kwetu kuanza mojaKm Wako Baby ebu nambie akiwa mmeo utafanyaje??? viboko au....
Mama yake alipokuwa hai hiyo ndiyo ilikuwa jukumu lake la kumsaka,aliwatumia sana wazeeAmeshatugeuza sisi wenzake wa kucheza nae kombolela.
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.Mama yake alipokuwa hai hiyo ndiyo ilikuwa jukumu lake la kumsaka,aliwatumia sana wazee
Ova
Mtakuwa mnamuona pale tu akikubali Masharti ya 'Rehab Center' aliyopelekwa awali na aliko sasa Bagamoyo vinginevyo Kawe itaendelea Kumkosa Diwani wake ( wao ) sawa?Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa
Pia soma
- Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
- Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke
- Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura wa Tabata Dar es salaam aahidi kutopotea tena
View attachment 2419257
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Halafu pia ndio wamempa umwenyekiti kanisani nonsense
Kwani yapoje?ππππ!Kajamaa kanaonekana kazinzi sana,angalia mdomo na macho yake
Mtakuwa mnamuona pale tu akikubali Masharti ya 'Rehab Center' aliyopelekwa awali na aliko sasa Bagamoyo vinginevyo Kawe itaendelea Kumkosa Diwani wake ( wao ) sawa?
Na mlioamini ( Uongo mliopewa ) kuwa ile ya nyuma ( alivyopotea ) alikuwa amefichwa Tabata kwa Ashura Poleni sana na ikiwezekana ombeni nanyi pia Kujumuishwa ile Ripoti ya Orodha ya Wendawazimu 7,000,000 ( Millioni Saba ) waliopo ( wanaopatikana ) sasa nchini Tanzania.
Ninaomba niishie tu hapa tafadhali.
This time kapiga ndefu.. Huko kote hayupoSasa hivi atakuwa kwa Mwajuma Mwananyamala