Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
duuh mkuu basi mama alikua tajiriWanawake huwa wavumilivu sana kwenye pesa.
Mama Lwakatare ndie mwanamke tajiri kuliko wote Tanzania.
Hao watoto ni mabilionea
Mke anaanzia wapi kukosa moyo na uvumilivu..
Sio rahisi kupata mume kutoka koo tajiri