Dj Choka hana busara hata kidogo. Maradhi yake isiwe sababu ya kuwahukumu watu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.

Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.

Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara kadhaa followers wake wamekuwa wakimuambia kuhusu hili.

Figo zake kufeli kuna asilimia kubwa sana kunatokana na lifestyle yake aliyokuwa akiishi hapo awali.

Life style ya kula bata kila kukicha , ilikuwa ngumu sana kutaja wala bata ukakosa kumtaja Dj Choka.

Ila hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kwamba alishawahi kusaidia mtu yeyote kulingana na umaarufu aliokuwa nao , kusaidia watoto yatima, na wasiojiweza kama wenzake wanavyofanya .

Screenshot_20260816_005144_Instagram Lite.jpg

Mfano kama hii barua ya wazi aliyotuma akimlaumu eti kwa nini Diamond hamchangii pesa ya dialysis kama anavyochanga /kuwatunza watu hela sehemu mbalimbali.

Hapa jamaa amepuyanga parefu sana, maana anataka kutengeneza picha au kushusha upendo wa Diamond kwa mashabiki zake Diamond aonekane ana roho mbaya na hasaidii wenzake wenye matatizo .

Hakukuwa na ulazima wa kuyaleta haya public, kama alimuomba Diamond na akanyimwa ilipaswa kujikaza kisabuni maana msaada si lazima maana sio deni.

Ukipewa shukuru , usipopewa pia shukuru maana sio jukumu la yeyote kukusaidia , ni ubinadamu tu unafanyika.
 
Eeh hapa nimesimama na wewe kwa kiasi fulani. Msaada wa dialysis ni jambo zuri kweli, lakini kumhukumu mtu kwa sababu ya maradhi si sawa kabisa. Kila mtu anaweza kupata msiba, hivyo tusiwahukumu watu. Lakini pia najua Dj Choka amekuwa na story nyingi, ila sasa ni wakati wa kuwa na huruma, si kumtukana zaidi. Mungu ndiye anajua yote.
 
Na iwe fundisho kwa mastaa wengine. Wakiwa kwenye kilele cha mafanikio yao huwa hawakumbuki kuwekeza kwa ajili ya kesho yao. Wao ni starehe na starehe na wao bila kujali hali inaweza kubadilika muda wowote.

Inawezekana anapitia hali ngumu sana ila sio sababu ya kufosi msaada.
 
Shida sio maradhi yake.

Shida namna anavyoomba msaada.

Hatumii hekima kabisa .
 
Na iwe fundisho kwa mastaa wengine. Wakiwa kwenye kilele cha mafanikio yao huwa hawakumbuki kuwekeza kwa ajili ya kesho yao. Wao ni starehe na starehe na wao bila kujali hali inaweza kubadilika muda wowote.

Inawezekana anapitia hali ngumu sana ila sio sababu ya kufosi msaada.
Ana lugha mbovu sana.
 
Mkuu umeanza kutoka nje ya maada..
Mihadarati imefanyaje? af skuiz unatatizo gan na mihadarati?
Wewe usiyetumia mihadarati hautakufa kwamba utailinda hii dunia milele na milele...

Unapotoa hizi comment zenye mrengo kandamizi sijui huwa unamaanisha nini?
Nmeuliza tu mkuu sijafika huko uliponiona naelekea kufika.
 
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.

Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.

Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara kadhaa followers wake wamekuwa wakimuambia kuhusu hili.

Figo zake kufeli kuna asilimia kubwa sana kunatokana na lifestyle yake aliyokuwa akiishi hapo awali.

Life style ya kula bata kila kukicha , ilikuwa ngumu sana kutaja wala bata ukakosa kumtaja Dj Choka.

Ila hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kwamba alishawahi kusaidia mtu yeyote kulingana na umaarufu aliokuwa nao , kusaidia watoto yatima, na wasiojiweza kama wenzake wanavyofanya .

View attachment 3651125
Mfano kama hii barua ya wazi aliyotuma akimlaumu eti kwa nini Diamond hamchangii pesa ya dialysis kama anavyochanga /kuwatunza watu hela sehemu mbalimbali.

Hapa jamaa amepuyanga parefu sana, maana anataka kutengeneza picha au kushusha upendo wa Diamond kwa mashabiki zake Diamond aonekane ana roho mbaya na hasaidii wenzake wenye matatizo .

Hakukuwa na ulazima wa kuyaleta haya public, kama alimuomba Diamond na akanyimwa ilipaswa kujikaza kisabuni maana msaada si lazima maana sio deni.

Ukipewa shukuru , usipopewa pia shukuru maana sio jukumu la yeyote kukusaidia , ni ubinadamu tu unafanyika.
Usiombe kuumwa na kuona jinsi ambavyo msaada mdogo una athari njema kwa mustakabali wa afya yako. Mgonjwa ndie hasa anafahamu anapita katika wakati gani, ni vizuri kumvumilia kwa kuwa changamoto yake ni kubwa na huduma zinahitaji fedha ambazo hazipo.
 
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.

Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.

Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara kadhaa followers wake wamekuwa wakimuambia kuhusu hili.

Figo zake kufeli kuna asilimia kubwa sana kunatokana na lifestyle yake aliyokuwa akiishi hapo awali.

Life style ya kula bata kila kukicha , ilikuwa ngumu sana kutaja wala bata ukakosa kumtaja Dj Choka.

Ila hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kwamba alishawahi kusaidia mtu yeyote kulingana na umaarufu aliokuwa nao , kusaidia watoto yatima, na wasiojiweza kama wenzake wanavyofanya .

View attachment 3651125
Mfano kama hii barua ya wazi aliyotuma akimlaumu eti kwa nini Diamond hamchangii pesa ya dialysis kama anavyochanga /kuwatunza watu hela sehemu mbalimbali.

Hapa jamaa amepuyanga parefu sana, maana anataka kutengeneza picha au kushusha upendo wa Diamond kwa mashabiki zake Diamond aonekane ana roho mbaya na hasaidii wenzake wenye matatizo .

Hakukuwa na ulazima wa kuyaleta haya public, kama alimuomba Diamond na akanyimwa ilipaswa kujikaza kisabuni maana msaada si lazima maana sio deni.

Ukipewa shukuru , usipopewa pia shukuru maana sio jukumu la yeyote kukusaidia , ni ubinadamu tu unafanyika.
Dah pole yake mwamba nimepiga nae vyombo lachaaz 😔😔😔😔
 
Back
Top Bottom