Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
AsanteKisukari au blood pressure inaweza sababisha hiyo
Ova
AsanteKisukari au blood pressure inaweza sababisha hiyo
Ova
AKI ni ajali ya muda mfupi inayoipata figo. Kuna kiwango maalum kinachotenganisha aina hizo mbili kutokana na uwezo wake wa kuchuja damu.Daah , Kidney injury ndio inakuwaje mkuu? Kama hutojali
hilo jina la choka nako sio. Unajiitaje choka? maneno huumbaDj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara kadhaa followers wake wamekuwa wakimuambia kuhusu hili.
Figo zake kufeli kuna asilimia kubwa sana kunatokana na lifestyle yake aliyokuwa akiishi hapo awali.
Life style ya kula bata kila kukicha , ilikuwa ngumu sana kutaja wala bata ukakosa kumtaja Dj Choka.
Ila hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kwamba alishawahi kusaidia mtu yeyote kulingana na umaarufu aliokuwa nao , kusaidia watoto yatima, na wasiojiweza kama wenzake wanavyofanya .
View attachment 3651125
Mfano kama hii barua ya wazi aliyotuma akimlaumu eti kwa nini Diamond hamchangii pesa ya dialysis kama anavyochanga /kuwatunza watu hela sehemu mbalimbali.
Hapa jamaa amepuyanga parefu sana, maana anataka kutengeneza picha au kushusha upendo wa Diamond kwa mashabiki zake Diamond aonekane ana roho mbaya na hasaidii wenzake wenye matatizo .
Hakukuwa na ulazima wa kuyaleta haya public, kama alimuomba Diamond na akanyimwa ilipaswa kujikaza kisabuni maana msaada si lazima maana sio deni.
Ukipewa shukuru , usipopewa pia shukuru maana sio jukumu la yeyote kukusaidia , ni ubinadamu tu unafanyika.
DJ Choka - DJ Hugo kipindi ana Blog yake alisaidia sana wasananii wa Bongo Flavor kupush miziki yao ,wamsaidie bana ,Dayamondi kama ana zaidi ya 20B kwenye account ,kumsaidia DJ Choka hata fedha ya kwenda kumfanyia implantation ya Kidney india hashindwi.Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi.
Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu.
Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara kadhaa followers wake wamekuwa wakimuambia kuhusu hili.
Figo zake kufeli kuna asilimia kubwa sana kunatokana na lifestyle yake aliyokuwa akiishi hapo awali.
Life style ya kula bata kila kukicha , ilikuwa ngumu sana kutaja wala bata ukakosa kumtaja Dj Choka.
Ila hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kwamba alishawahi kusaidia mtu yeyote kulingana na umaarufu aliokuwa nao , kusaidia watoto yatima, na wasiojiweza kama wenzake wanavyofanya .
View attachment 3651125
Mfano kama hii barua ya wazi aliyotuma akimlaumu eti kwa nini Diamond hamchangii pesa ya dialysis kama anavyochanga /kuwatunza watu hela sehemu mbalimbali.
Hapa jamaa amepuyanga parefu sana, maana anataka kutengeneza picha au kushusha upendo wa Diamond kwa mashabiki zake Diamond aonekane ana roho mbaya na hasaidii wenzake wenye matatizo .
Hakukuwa na ulazima wa kuyaleta haya public, kama alimuomba Diamond na akanyimwa ilipaswa kujikaza kisabuni maana msaada si lazima maana sio deni.
Ukipewa shukuru , usipopewa pia shukuru maana sio jukumu la yeyote kukusaidia , ni ubinadamu tu unafanyika.
ChaiDJ Choka - DJ Hugo kipindi ana Blog yake alisaidia sana wasananii wa Bongo Flavor kupush miziki yao ,wamsaidie bana ,Dayamondi kama ana zaidi ya 20B kwenye account ,kumsaidia DJ Choka hata fedha ya kwenda kumfanyia implantation ya Kidney india hashindwi.
Serikali ifikirie inshu ya dialysis iwe Bure kama zenji Kuna kijana mdogo nae anateseka Arusha Hadi huruma serikali ifanye jambo
Hapo Dar , vijana wanaoznza kujipata hasa hawa wasanii , waigizaji na comedians., wana ratiba za kwenda kwenye bars kutwa ili kuweka heshima..Wengine wanadai hizo sehemu watafuta connections , mwishoe wanaishi kutumia pesa nyingi kwenye starehe za kishamba .Na iwe fundisho kwa mastaa wengine. Wakiwa kwenye kilele cha mafanikio yao huwa hawakumbuki kuwekeza kwa ajili ya kesho yao. Wao ni starehe na starehe na wao bila kujali hali inaweza kubadilika muda wowote.
Inawezekana anapitia hali ngumu sana ila sio sababu ya kufosi msaada.
Asante mkuuAKI ni ajali ya muda mfupi inayoipata figo. Kuna kiwango maalum kinachotenganisha aina hizo mbili kutokana na uwezo wake wa kuchuja damu.
Lakini, usipowahi kuitibu Acute Kidney Injury huwa inapelekea ugonjwa wa figo wa muda mrefu (CKD)
Ni kweli kabisa wanakuja kushtuliwa na maradhi na ile fame haipo tena.Hapo Dar , vijana wanaoznza kujipata hasa hawa wasanii , waigizaji na comedians., wana ratiba za kwenda kwenye bars kutwa ili kuweka heshima..Wengine wanadai hizo sehemu watafuta connections , mwishoe wanaishi kutumia pesa nyingi kwenye starehe za kishamba .
Wakipata matatizo , hayo makundi wanayoenda nayo bar hayapo tena .
DJ Hugo ,nimesahau Blog yake ila aliweka sana miziki ya Bongo Fleva na tulikuwa tunaenda kuzishusha kwa Real Media Player.Chai