Dj Choka hana busara hata kidogo. Maradhi yake isiwe sababu ya kuwahukumu watu

Dj Choka hana busara hata kidogo. Maradhi yake isiwe sababu ya kuwahukumu watu

1)Visungura pombe kali

2)energy drinks

3.dawa/sumu ya wadudu inayopulizwa kwenye mboga mboga na matunda
4.pombe feki

## vijana kuchanganya pombe na energy drinks

hayo yote yasipo MULIKWA baada ya miaka 5-10 mbeleni

tutakuwa na vijana wengi wataanza kuomba kuchangiwa matibabu ya kuchuja damu/MAGONJWA YA FIGO

moyo mqini,saratani,nguvu za kiume nk
 
Sawa kaka lakini hauko sahihi kuugua Figo sio lazima uwe mnywa pombe katika makundi mengi yanayo angamia sasa hivi na Figo si wanywa pombe, mfano matumizi ya dawa za kisasa ndivyo sivyo, miti shamba, upungufu wa kutumia maji ya kunywa nk unaweza Kuta wagonjwa wa Figo sababu ya pombe ni asilimia ndogo sana kaka jitahidi kujichanganya Kwa wagonjwa utajifunza kitu kaka.
Ni kweli unachosema,ila wengi wetu pombe ndiyo chanzo
Nkirudi kuhusu huyu mwenye tatizo nahisi anapitia mpk changamoto za akili anakuwa depressed akiangalia bado matibabu yanahitajika +gharama mtu mpaka una data

Ova
 
Asee kaka Huwa NAJIULIZA nikipata huo mtihani Mimi si nakufa nakufa hapohapo mana dialysis sio kitoto hizo gharama
 
Hivi hizo Dialysis mwisho wake huwa ni nini? Na ukishafanyiwa mara nyingi kuna uwezekano wa kupona?
Kama itakuwa ni Acute Kidney Injury, Yes, utapona but kwa Chronic Kidney disease Dialysis is not a definitive treatment. Hiyo ipo kusogeza siku za kuishi.

Kama uwezo upo, tiba sahihi ni kupandikiza figo full stop.
 
Daah , Kidney injury ndio inakuwaje mkuu? Kama hutojali
 
Back
Top Bottom