Dj Choka hana busara hata kidogo. Maradhi yake isiwe sababu ya kuwahukumu watu

Na huko vipombe vile wanavyopiga hawasikii haswambiliki,ujuaji mwingi

Ova
Sawa kaka lakini hauko sahihi kuugua Figo sio lazima uwe mnywa pombe katika makundi mengi yanayo angamia sasa hivi na Figo si wanywa pombe, mfano matumizi ya dawa za kisasa ndivyo sivyo, miti shamba, upungufu wa kutumia maji ya kunywa nk unaweza Kuta wagonjwa wa Figo sababu ya pombe ni asilimia ndogo sana kaka jitahidi kujichanganya Kwa wagonjwa utajifunza kitu kaka.
 
Ila huyo mwamba alikuwa mtu wa vyombo sana

Ova
 
**nashauri vijana tena hapa
pombe ,hasa pombe kali visungura
energy drinks
mbaya zaidi kwa wale wanaochanganya energy drinks na pombe**

baada ya miaka 10 tutakuwa na wagonjwa wengi wa FIGO na MOYO.

na haya magonjwa ninya kitajiri ukiyapata yanafilisi ,matibabu ya figo ni ghali sana.
 
**nashauri vijana tena hapa
pombe ,hasa pombe kali visungura
energy drinks**

mbaya zaidi kwa wale wanaochanganya energy drinks na pombe

baada ya miaka 10 tutakuwa na wagonjwa wengi wa FIGO na MOYO.

na haya magonjwa ninya kitajiri ukiyapata yanafilisi ,matibabu ya figo ni ghali sana.
 
**nashauri vijana tena hapa pombe ,hasa pombe kali visungura
energy drinks**

mbaya zaidi kwa wale wanaochanganya energy drinks na pombe

baada ya miaka 10 tutakuwa na wagonjwa wengi wa FIGO na MOYO.

na haya magonjwa ninya kitajiri ukiyapata yanafilisi ,matibabu ya figo ni ghali sana.
 
na pombe feki ni hatari
 
Na hawana msaada wowote, kazi yao kujikweza wakasaidiwe na hao masuperstar wenzao watuache sisi wauza mchicha.
 

Naseeb aache kuonga atoe Mpunga
 

Nchini Rwanda wamekataza vinywaji fake zenye brand za Tanzania.

Sasa wewe nenda chaka kwa chaka agiza kinywaji fake baadae usije lalamika kuwa Figo zimefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…