a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Mitungi.Nae si alikuwa anatumia mihadarati?
Hata Porofesa wa Mitulinga.Mpiga vyombo mno alikuwa.
Starehe kila kukicha.
Huyo nyagi alikuwa anapiga dry kama anakunywa maji ya uhaiHata Porofesa wa Mitulinga.
Ni kweli unachosema,ila wengi wetu pombe ndiyo chanzoSawa kaka lakini hauko sahihi kuugua Figo sio lazima uwe mnywa pombe katika makundi mengi yanayo angamia sasa hivi na Figo si wanywa pombe, mfano matumizi ya dawa za kisasa ndivyo sivyo, miti shamba, upungufu wa kutumia maji ya kunywa nk unaweza Kuta wagonjwa wa Figo sababu ya pombe ni asilimia ndogo sana kaka jitahidi kujichanganya Kwa wagonjwa utajifunza kitu kaka.
AiseeHuyo nyagi alikuwa anapiga dry kama anakunywa maji ya uhai
Ova
Sio mbaya, acha afanye roho inapenda inamsaidia na stress kidogo 😁Jamaa anauwa ila kutwa Utakuta comments zke kwny licha Za Wanawake wenye nyashi insta
Asee kaka Huwa NAJIULIZA nikipata huo mtihani Mimi si nakufa nakufa hapohapo mana dialysis sio kitoto hizo gharamaNi kweli unachosema,ila wengi wetu pombe ndiyo chanzo
Nkirudi kuhusu huyu mwenye tatizo nahisi anapitia mpk changamoto za akili anakuwa depressed akiangalia bado matibabu yanahitajika +gharama mtu mpaka una data
Ova
Kama itakuwa ni Acute Kidney Injury, Yes, utapona but kwa Chronic Kidney disease Dialysis is not a definitive treatment. Hiyo ipo kusogeza siku za kuishi.Hivi hizo Dialysis mwisho wake huwa ni nini? Na ukishafanyiwa mara nyingi kuna uwezekano wa kupona?
Ndiyo dr tupe somoBwashee sio sababu ya shida ya figo
Asilimia 90 ya watu wa Figo sio wanywa pombe natoa uzi kabisaNdiyo dr tupe somo
🤣🤣🤣Na hawana msaada wowote, kazi yao kujikweza wakasaidiwe na hao masuperstar wenzao watuache sisi wauza mchicha.
Haina nouma kakaAsilimia 90 ya watu wa Figo sio wanywa pombe natoa uzi kabisa
Daah , Kidney injury ndio inakuwaje mkuu? Kama hutojaliKama itakuwa ni Acute Kidney Injury, Yes, utapona but kwa Chronic Kidney disease Dialysis is not a definitive treatment. Hiyo ipo kusogeza siku za kuishi.
Kama uwezo upo, tiba sahihi ni kupandikiza figo full stop.
Kisukari au blood pressure inaweza sababisha hiyoDaah , Kidney injury ndio inakuwaje mkuu? Kama hutojali