Pips zinasemajeNipo mkuu
Nawapenda na wanawake ila sio kama wanaumeUnaniudhi baby! Unapenda wanaume!
Bila shaka wewe ni ocean road katika ID mpyaJamaa anapenda kiki sana pia anamshobokea manzi yangu humu!
Kwa lipi unawapendaNawapenda na wanawake ila sio kama wanaume
Zinaboresha maisha zaidi mkuuPips zinasemaje
Yap mkuu Mimi huwa naheshimu kila mtu ndio maana huwa sina lugha isiyofaa!DJ Sepetu naona umekuwa tishio hadi unafunguliwa uzi..songa mbele mkuu, but kama yupo atakayechangia kinachokufaa kukitendea kazi pia ukichukue kimya kimya kitakuimarisha.
Siyo kila anayekusema vibaya ni adui..hapana
Mbona waliofanikiwa hawatupi mrejesho learnersZinaboresha maisha zaidi mkuu
Kufanikiwa kwa mtu inategemea anatafsirije mafanikioMbona waliofanikiwa hawatupi mrejesho learners
Sawa kabisa!!!Kufanikiwa kwa mtu inategemea anatafsirije mafanikio
poa poaUsimalize bando comrade!