Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Prof Jay ilibidi serikali iingilie kati kusaidia matibabuNa vile NHIF zimekataa ishughulikia
Hebu fikiria kutoa zaidi ya 500,000 kila wiko kwa ajili ya dialysis.
Inakubidi angalau muwe na mapato ya zaidi ya 5mil kwa mwezi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app