Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

Dk. Mwaka, tumia busara kidogo, namshauri RPC au RC wamuite na kumtaka aombe radhi, hii amani imepatikana kwa gharama

Mwaka kagusa ajira za watu lazima watamani kumtoa roho maana kawafumbua waumini wao
 
Wapangiwe pambano watimbe ulingoni mwanaume unaimbaje taarabu
 
Kwahiyo Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa iache kazi zake za kuhakikisha Panya Road wanapotea, ianze kusuluhisha watu wawili walioshiba?
 
Hivi nyie watu mna ubongo au takataka, yaani RC au RPC apoteze muda wake amuite Dr
Fake Mwaka? Huyo Mwaka sio Dr ni fake tu, alafu acheni ujinga, kweli RC ana majukumu mazito kila siku ahangaike kumtafuta Mwaka? Mleta mada unabeba kichwa au boga?
 
Atokee mtu atupe summary. Kuna nini kati ya hao manguri wawili?
 
Namshauri Dk mwaka aombe radhi tu, hakuna atakachopungukiwa. Analeta malumbano yasiyo na msingi.

Namshauri Mkuu wa Mkoa amwite na kumnasaha aombe radhi, ikishidikana RPC amwite kwa mahojiano, maana analeta viashiria vya uvunjifu wa amani nchini. Ahojiwe,labda anatumika na kundi ambalo haliitakii mema nchi yetu
Acha Ujinga wewe. RC ana kazi nyingi kukaa kupatanisha kila jamaa yako anapogombana na mwingine. Kati ya hao unaowataja nani ndo mtu wako? Je wamo humu? Si uende ukaongee nao?acheni ujinga huo.
 
Acha Ujinga wewe. RC ana kazi nyingi kukaa kupatanisha kila jamaa yako anapogombana na mwingine. Kati ya hao unaowataja nani ndo mtu wako? Je wamo humu? Si uende ukaongee nao?acheni ujinga huo.
Huna uwezo wa kumzuia RC asifanye kazi yake
 
Mimi nashinda kariakoo mtaa wa Aggrey na sijui kinachoendelea
Mleta mada kaandika utadhani wote tunataarifa kamili

Wengine ukituwekea kichwa cha habari hatuwezi kujazilizia habari kamili wenyewe
 
Back
Top Bottom